Kutana na staa wa 'Maisha Plus' Efrancyah

Lucchese DeCavalcante

JF-Expert Member
Jan 10, 2009
5,471
734
281ctf.jpg


Pamoja na umbile lake hilo lakini na mvuto wa kipekee...

99jqc5.jpg


2wex40o.jpg

 
kwanini huyu dada amepiga hizi picha, anajiuza au nini? lengo lake ni nini kupiga picha kama izo afu mnaziweka hapa?
 
Kitimoto @ its best: Watanzania mtangundua lini kuwa mnahatarisha maisha yenu kwa kuwa na miili ya uzembe? Mnakula vyakula vichafu halafu mnakuwa na miili ya kutepeta (minyama uzembe)! Kuna jamaa nilikutana naye tegeta jana(tulikuwa tuna kama mwaka hivi hatujaonana) amekuwa na kitambi kama mwanamke mwenye ujauzito wa triplets! Halafu yeye anajisikia saaafi sana - Amevaa "blauzi" ili kionekanae vizuri!
 
kweli ni mrembo lkn unene hatarishi huu kiafya!
na hizi picha cjui alizipiga akitafuta nini!!:mad2:
 
hahahaaa,nimecheka saaana!yupo kama mdoli vile....i hope she is physically fit...manake an aprox. 300kg kama sikosei...thats too much for her heart and legs to carry..lol
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom