Kutana na Sophia, robot lenye uwezo wa kufikiri...

Robot 'linafikiri'? Laiti ungesema kuwa hilo dude liko programmed tu. Linafanya kazi kwa kufuata a set of rules and instructions zilizotengenezwa na creator wake. Binadamu hafikiri kwa kufuata rules fulani fulani, system ya binadamu kuhusiana na kufikiri iko more complex. Huyo Sofia wako hawezi kufikiri in a truly human way. Jaribu kumfanyia huyo Sofia the turing test; kamwe hawezi.
Wote tupo programmed.
 
Lile robot lina uwezo wa "kufikiri" lakini uwezo wake sio mkubwa ni sawa na uwezo wa mtoto mdogo.. Tofauti ni kwamba uwezo wake wa kufikiri bado haujawa 'complex' kama unavyoufikiria.
Kama unalishangaa hilo kaangalie lingine linaitwa 'PEPPER' linaweza interact na wewe kwa kusoma hisia zako!. Dunia imekimbia sana kusema binadamu ni complex ni kujidanganya as kila siku watu wanazidi vunja barriers zake!.

Pepper the humanoid robot | SoftBank Robotics EMEA

Ukisema "kama unavyofikiria" unakosea sana.. Kia nilolileta hapa siyo fikra zangu, hata hiyo Sophia kufikiri siyo fikra yangu. Jisomee jarida la sayansi linasemaje kubusu Sophia...
Here's What Sophia, the First Robot Citizen, Thinks About Gender and Consciousness.

Notice "thinks".
 
Afadhali mjinga. Wewe uko programmed kuwa mpumbavu. Note the difference.
Ma shaa Allah, kumbe hata wewe ume notice hilo. Umethibitisha na kutukinaisha kuwa kweli u mjinga bila kujijuwa.

Hakika kupumbaza ni sifa yangu.
 
Ma shaa Allah, kumbe hata wewe ume notice hilo. Umethibitisha na kutukinaisha kuwa kweli u mjinga bila kujijuwa.

Hakika kupumbaza ni sifa yangu.
Nafurahi hujakataa you are programmed kuwa mpumbavu.
Mjinga hajui, atajifunza ujinga unamtoka. Mpumbavu hana tiba
 
Artificial Intelligence (AI) ipo ndani yake!.. Mambo ya algorithm tu, linainterprete unachouliza ila bado kuweza jenga hoja nje ya mzingo wake!.

Kama hali iko hivyo,huyo sophia hafikirii. Ndio maana kuna swali muhimili niliuliza ya kwamba ili kiumbe kifikiri kinahitaji kuwa na ala gani ? Sijajibiwa swali hili.
 
Kama hali iko hivyo,huyo sophia hafikirii. Ndio maana kuna swali muhimili niliuliza ya kwamba ili kiumbe kifikiri kinahitaji kuwa na ala gani ? Sijajibiwa swali hili.
Kufikiri ni "process" Sophia ana "Processor".

Binaadam kuna vitu ambavyo havifahamu bila kufundishwa (programmed) Sophia pia ni lazima afundishwe.
 
Kufikiri ni "process" Sophia ana "Processor".

Binaadam kuna vitu ambavyo havifahamu bila kufundishwa (programmed) Sophia pia ni lazima afundishwe.

Unaweza kuelezea mchakato wa ufikiriaji wa mwanadamu ?

Je unazijua ala za ufikiriaji kwa binadamu ?

Lakini,katika lugha kuna maneno hasa/maalumu ambayo ni kwa mwanadamu tu pekee na hayaingii kwa asie kuwa binadamu,sasa hili ni sanamu kwalo halipambiki kwa sifa ya ufikiriaji hata kwa bahati mbaya sababu halina ala kwazo zinamfanya Sophia afikirie.

Nipo ....
 
Ukisikiliza video iliyopo post namba moja, kuna sehemu Sophia anauliza "how do you know you are human?".
 
Ukisikiliza video iliyopo post namba moja, kuna sehemu Sophia anauliza "how do you know you are human?".
Faiza hayo ni maneno yaliyorekodiwa mapema ktk tape (pre-recorded digital audiotapes) na kuingizwa kwa Sofia. Programmers wanachofanya ni kumlisha Sofia maswali na majibu yake. Ikitokea Sofia akaulizwa swali ambalo hajalishwa, a set of commands zitarejeshwa ktk database na kutoa amri kwa Sofia ili ajibu, 'I don't know' au vinginevyo. Tofauti na hapo basi binadamu atakuwa na uwezo wa kutengeneza kitu kisichokuwa na damu wala uhai chenye uwezo wa kufikiri uwezo alionao Mwenyezi Mungu pekee.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom