Kutana na Sophia, robot lenye uwezo wa kufikiri...

ok its just a joke,

huyu mdada mi namkubali sana pale anapochangia mada zisizohusu dini wala ccm,

ila zile za dini na kijani,sijui huwa akili anaiacha wapi.
CCM ukiwa na akili wanazitoa kwanza ndiyo wanakupokea, msikitini wanaku brain wash ndiyo maana kwenye hoja tofauti anakuwa genius, hongera mama yetu FaizaFoxy
 
Nyie mapunguani, mada hapa ni Sophia siyo FaizaFoxy wala CCM.
 
Duh!

Wasaudi wamempa Sophia uraia.

On October 25, at the Future Investment Summit in Riyadh, the robot was granted Saudi Arabian citizenship, becoming the first robot ever to have a nationality. ... Saudi law doesn't allow non-Muslims to get citizenship.
Sophia (robot) - Wikipedia
Kwa hio unaunga mkono juhudi ya serikali ya Saudi Arabia kulipa uraia sanamu wakati huohuo wanawazuia waislamu wenzao waliokumbwa na balaa la vita kuingia nchini mwao?
Yaani mtume alifanya juhudi ya kuyavunja masanamu halafu wao wapo kwenye juhudi ya kuyanunua na kuyarudisha katika ardhi takatifu.
Vipi mufti wa saudia analizungumziaje swala hili?

Maendeleo hayana chama
 
Sifahamu kama Wasaudi wanaliabudu hilo sanamu,

Sifahamu kama Saudi Arabia kuna cheo cha "mufti".

Masheikh wa Saudi Arabia sasa hivi wanafungwa midomo na MbS wakipenda wasipende.

Maoni yangu binafsi ni kuwa wataalam wanajenga miili ya kufugia majinni (mapepo) waovu.
 
Shukran ukhty, nimefurahishwa na huo mtazamo wako kuhusu hilo sanamu,
Ulivyoleta mada nikajua na wewe pia umeunga mkono juhudi ya kuwarudisha kina manata na uzzah katika ardhi takatifu.

Haaa
 
Back
Top Bottom