African Believer
JF-Expert Member
- Jul 30, 2015
- 436
- 425
- Thread starter
- #121
Kwa kuwa dhambi ni uovu dhidi ya Mungu pamoja na viumbe vyake ukiichukia utakuwa umetenda jambo jema litakaloufanya upendo utamalaki.Jee unapochukia dhambi ni Upendo??
Kwa kuwa dhambi ni uovu dhidi ya Mungu pamoja na viumbe vyake ukiichukia utakuwa umetenda jambo jema litakaloufanya upendo utamalaki.Jee unapochukia dhambi ni Upendo??
Ni Upendo?Kwa kuwa dhambi ni uovu dhidi ya Mungu pamoja na viumbe vyake ukiichukia utakuwa umetenda jambo jema litakaloufanya upendo utamalaki.
Umejuaje kama wewe sio msharika wanamgeza subuhana na kigezo chema chenu baba kassim daah View attachment 803140
Uongo huo.Kwa muslims wa hapa bongo kwanza wakijua wewe sio muislam na umeigusa tu Quran tukufu asee watakuchinja kwa upanga maana watakuita kafir haram.