kutana na Mr WAKATI NDIO SASA,...niuliza lolote lile ujibiwe | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

kutana na Mr WAKATI NDIO SASA,...niuliza lolote lile ujibiwe

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by Ruhazwe JR, Oct 23, 2012.

 1. Ruhazwe JR

  Ruhazwe JR JF-Expert Member

  #1
  Oct 23, 2012
  Joined: Jan 31, 2011
  Messages: 3,414
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Wasalamu
  Leo naomba kujitokezahadharani kwa mara ya kwanza nikiwa nawazo tofauti kidogo,nitaomba kuulizwa lolote kuhusiana na mimi,[​IMG]niulize lolote ambalo ungependa kujua toka kwangu.  wenu katika michakato
  -------------------------
  WNS
   
 2. Asprin

  Asprin JF-Expert Member

  #2
  Oct 23, 2012
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 50,948
  Likes Received: 23,830
  Trophy Points: 280
  1. Kwanini umegoma kutahiriwa, huo mkono sweta haukusumbui?
  2. Utaacha lini kupiga punyeto?
  3. Kwanini umesitisha dozi ya ARV

  Ni mimi tu nimebakia, ni mimi kuwaleteeni habari.
   
 3. nitonye

  nitonye JF-Expert Member

  #3
  Oct 23, 2012
  Joined: Dec 18, 2011
  Messages: 7,167
  Likes Received: 508
  Trophy Points: 280
  1.sasa hivi saa ngapi?
  2. Vipi umeolewa au unamchumba?
   
 4. Mtalingolo

  Mtalingolo JF-Expert Member

  #4
  Oct 23, 2012
  Joined: Aug 4, 2011
  Messages: 2,188
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  Kisayansi, kwanini watu wafupi huwa wabishi sana katika kitu chochote wakiwa wanabishana na watu warefu. Kuna uhusiano wowote kati ya kimo chao na ubishi?
   
 5. Ruhazwe JR

  Ruhazwe JR JF-Expert Member

  #5
  Oct 23, 2012
  Joined: Jan 31, 2011
  Messages: 3,414
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  1. Nimegoma kutahiri,pale tu baada ya kusitisha harakati zangu za kumpata charminglandy nafikilia kupanga tena kutahiri endapo ntapata mtu kama FP na warembo wengine kama hao
  2. Nazani sitaacha kwakua napata raha bila hata kutumia Dume, kama uamini C6 kaoa lakini hajaacha Judgment hajaacha hata wewe mwenyewe hujaacha.kifupi si rahisi kuacha.
  3. nimesitisha baadaya ya kuombewa nikapona kabisa,na nilipoombewa lile pepo la kumlavu cl likatoka

  ongeza swali lingine
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 6. Ruhazwe JR

  Ruhazwe JR JF-Expert Member

  #6
  Oct 23, 2012
  Joined: Jan 31, 2011
  Messages: 3,414
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  sasa ni saa ya ukombozi ambapo wale walioko madarakani kwa njia haramu makalio ya vibrate
  sijaolewa kwakua ,i si mwanakuolewa ni mwanakuo kama unabisha nitengee uone mi nakula tu
   
 7. Ruhazwe JR

  Ruhazwe JR JF-Expert Member

  #7
  Oct 23, 2012
  Joined: Jan 31, 2011
  Messages: 3,414
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  mbona madame b si mbishi?
   
 8. Arabela

  Arabela JF-Expert Member

  #8
  Oct 23, 2012
  Joined: Jul 24, 2012
  Messages: 3,253
  Likes Received: 48
  Trophy Points: 145
  Nauliza je hicho kipara utosini ni orijino au fake? Pia ni kwanini unapenda kuvaa suruali bila mkanda?
   
 9. nitonye

  nitonye JF-Expert Member

  #9
  Oct 23, 2012
  Joined: Dec 18, 2011
  Messages: 7,167
  Likes Received: 508
  Trophy Points: 280
  Nasikia ulifumwa na mme wa mtu vp haya ni ya kweli?
   
 10. Nicole

  Nicole JF-Expert Member

  #10
  Oct 23, 2012
  Joined: Sep 7, 2012
  Messages: 4,284
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  Je wewe ni handsome kama hiyo avatar yako?
   
 11. Arushaone

  Arushaone JF-Expert Member

  #11
  Oct 23, 2012
  Joined: Mar 31, 2012
  Messages: 14,363
  Likes Received: 618
  Trophy Points: 280
  Leo! Hakika umenikosha arifu... Umekuja kiutu uzi...kiutu uzima chali'angu, hata masela wa R-chuga wamekufagili... wamekufagilia mwanangu. Keep it up that way.
   
 12. Ruttashobolwa

  Ruttashobolwa JF-Expert Member

  #12
  Oct 23, 2012
  Joined: Feb 22, 2012
  Messages: 43,744
  Likes Received: 12,820
  Trophy Points: 280
  Je umeshapata mwenza?
  Au ni kukabidhi kwa pretty n?
   
 13. Arushaone

  Arushaone JF-Expert Member

  #13
  Oct 23, 2012
  Joined: Mar 31, 2012
  Messages: 14,363
  Likes Received: 618
  Trophy Points: 280
  Loya waguma! Huyu jamaa yetu WNS madhali keshakuwa ana haki ya kupata mwenza ila wasiwasi wangu ni pale atakapokuwa anamuita anaita CL my wife wake mpya! Mazoea yana taabu!
   
 14. Nicas Mtei

  Nicas Mtei JF-Expert Member

  #14
  Oct 23, 2012
  Joined: Dec 21, 2010
  Messages: 11,569
  Likes Received: 106
  Trophy Points: 160
  Harakati zako za kummiliki charming lady zmeishia wapi?
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 15. Ruttashobolwa

  Ruttashobolwa JF-Expert Member

  #15
  Oct 23, 2012
  Joined: Feb 22, 2012
  Messages: 43,744
  Likes Received: 12,820
  Trophy Points: 280
  Kuna kifaa kipya kinaitwa pretty n kina mfaa sana! Itabidi tumkabidhi kwake!

   
 16. Nicas Mtei

  Nicas Mtei JF-Expert Member

  #16
  Oct 23, 2012
  Joined: Dec 21, 2010
  Messages: 11,569
  Likes Received: 106
  Trophy Points: 160
  kimeshakaguliwa?
   
 17. W

  Wajad JF-Expert Member

  #17
  Oct 24, 2012
  Joined: Jul 20, 2012
  Messages: 1,129
  Likes Received: 299
  Trophy Points: 180
  Kwa nini ombi lako kwa CL halijafanikiwa kwa muda mrefu sasa?
   
 18. figganigga

  figganigga JF-Expert Member

  #18
  Oct 24, 2012
  Joined: Oct 17, 2010
  Messages: 14,975
  Likes Received: 6,612
  Trophy Points: 280
  wewe ni nani? kwanini uliachana na id ya wakusoma
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 19. Arushaone

  Arushaone JF-Expert Member

  #19
  Oct 24, 2012
  Joined: Mar 31, 2012
  Messages: 14,363
  Likes Received: 618
  Trophy Points: 280
  Nilishamkagua on behalf of Asprin kwa kuwa pretty n yuko hapa Arusha nami nakaribia kurithishwa mikoba na babu ODM.
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 20. figganigga

  figganigga JF-Expert Member

  #20
  Oct 24, 2012
  Joined: Oct 17, 2010
  Messages: 14,975
  Likes Received: 6,612
  Trophy Points: 280
  mkague vizuri, mimi ndo ntamilizia akija huku. anaonekana mtamu sana kukagua. mia
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Loading...