Kutana na Mnigeria anayetengeneza drones za jeshi la Marekani

Burnaboy

JF-Expert Member
Dec 2, 2019
1,070
1,437
Dr. Osatohanmwen Osemwengie ni mtengenezaji wa drones za jeshi la marekani. Mtu huyu anayetoa huduma kwenye jeshi lenye nguvu zaidi duniani ni mzaliwa wa Edo State, Nigeria. Ana masters degrees 7 and PhD 3.

Vilevile anamiliki kampuni ya kutengeneza drones na ni muanzilishi wa the Open Robotics University.

Chanzo: face2faceafrica.com

Yupo vizuri!

osato1-1024x576.jpg
nasa.jpg
ose.png
 
Hizo ndiyo sababu ku za Wamarekani na nchi za magharibi kutowa "scholarships". Zinalipa sana kwao.

Hawawezi hata siku moja kukubali kuwaachia vichwa vyenye maana Afrika.

Ukiona mtu kapewa "scholarship" ya masomo na baada ya kusoma karudi kufanya kazi Tanzania elewa hilo ni poyoyo tu.

Mmarekani harudishi huku kichwa chenye manufaa kwake. Watalipaje scholarships zao?

Nyie endeleeni kujisifia ujinga tu.
 
"Kutowa - Kutoa"
Huko shuleni mlisomea ujinga!?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Poyoyo kwa US, lakini kibongo bongo anakuwa yupo vizuri. Naamini tuna wasomi wazuri tu ambao kwa soko la nje hawana nafasi, lakini bongo wanaishia kwenye siasa, badala ya kuitumia elimu yao kwenye jamii.
Nnakuhakikishia ni bora asiye na elimu Tanzania kuliko poyoyo aliyepewa scholarship akasoma akakosa nafasi za kazi nje akarudi Tanzania. Huyo ujuwe huko nje washamuona hafai kabisa, ni mzigo tu.
 
Hizo ndiyo sababu ku za Wamarekani na nchi za magharibi kutowa "scholarships". Zinalipa sana kwao.

Hawawezi hata siku moja kukubali kuwaachia vichwa vyenye maana Afrika.

Ukiona mtu kapewa "scholarship" ya masomo na baada ya kusoma karudi kufanya kazi Tanzania elewa hilo ni poyoyo tu.

Mmarekani harudishi huku kichwa chenye manufaa kwake. Watalipaje scholarships zao?

Nyie endeleeni kujisifia ujinga tu.
Nimecheka sana
 
Nnakuhakikishia ni bora asiye na elimu Tanzania kuliko poyoyo aliyopewa scholarship akakosa nafasi nje akatudi Tanzania. Huyo ujuwe huko nje washamuona hafai kabisa, ni mzigo tu.

Mwanamke wewe una mdomo hatari. Poyoyo mtu kurudi kwao?
Watakupa hela nyingi. Ndio wanavyofanyaga. Je wewe utarudi?
Kingine, na wale wengine wanaofanya kazi za kawaida hawataki kusikia Tanzania utawaweka kundi gani?
 
Kanisome tena na tena na tena labda utaelewa kuwa nimeandika kuhusu wanaopewa "scholarship" na sikuandika kuhusu ambao wanakwenda kwa njaa zao wala wanaokwenda kwa shibe zao au kwa sababu zingine zozote zile.

Hivi hizo shule mlienda kusomea ujinga?
 
Hizo ndiyo sababu ku za Wamarekani na nchi za magharibi kutowa "scholarships". Zinalipa sana kwao.

Hawawezi hata siku moja kukubali kuwaachia vichwa vyenye maana Afrika.

Ukiona mtu kapewa "scholarship" ya masomo na baada ya kusoma karudi kufanya kazi Tanzania elewa hilo ni poyoyo tu.

Mmarekani harudishi huku kichwa chenye manufaa kwake. Watalipaje scholarships zao?

Nyie endeleeni kujisifia ujinga tu.
Hao ndio wanaolewa umuhimu wa kutumia vipaji vya watu, tunapaswa kujifunza kutoka kwao.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom