Kutana na kijana Issa Haruna, mke wake na mwanae

Mapepo hayo sio yeye. Kuna simulizi nyingi za watu km hao,ambao anaweza kuwa na mapepo kadhaa ampaka yashibe yenyewe ndo jamaa anaacha kula.
 
Yap,mwaka 1998 kuna mmoja alikuwepo jo,bugh walikuwa wanamwita human eating machine,yeye alikuwa anakula msosi wa watu saba kila baada ya dakika 45,akimaliza kula anakuwa hoi hahiwezi kwa shibe,ila baada ya dakika 43-44 tu anakuwa hoi kwa njaa kali,huyu aliombewa kwenye makanisa akapona kabisa,baadaye aka back-slide kwenye imani na ile hali ikamrudia kwa nguvu zaidi,haladu alikuwa anachagua chakula kizuri tu
Mapepo hayo sio yeye. Kuna simulizi nyingi za watu km hao,ambao anaweza kuwa na mapepo kadhaa ampaka yashibe yenyewe ndo jamaa anaacha kula.
 
Fala ilo linafikiria kula sifa. Hafu eti linaomba mtaji wa kuuza mayai.

Jitu linalokula chapati 45 na chupa nzima ya chai ulipe mayai ya kuchemsha likauze si litakula trei 20.
Halafu mbaya zaidi eti linaomba serikali imsaidie,linaumwa kweli.

Wahanga Wa tetemeko kagera hawajasaidiwa kitu zaidi ya masimango.

Tena inabidi linyamaze maana raia no moja akipata hizi taarifa kuwa kuna MTU kwa sikua anakula wali kg 8, hakika mkuu Wa mkoa Wa mwanza atapewa maagizo liwekwe ndani.
 
Kilo 4 baba+ mke kilo 3 +mtoto kilo 1= familia kilo 8 kila mlo.

Siku moja 8x2= 16 kilo
Hivi kilo ya unga au mchele shingapi !?
Kilo 16x siku 30 = 480 kilo kwa mwezi

Kwa mwaka 480xmiezi 12=5760 yani ni tani kwa watanzania watatu.Bado mtoto anakuwa hapo

Kilo 4 baba+mke kilo 3+mtoto kakuwa 3= familia kilo 10 kila mlo

Siku moja 10x2=20 kilo

Kilo 20x siku 30=600 kilo kwa mwezi

Mwaka 600xmiezi 12=7200 hapo mtoto anaendelea kukua wametumi tani 7.2


Asante kwa kula
 
Huyu ni mwana mazingaobwe tu hayo mambo hayaingii akilini kwa hesabu za kawaida tu Sina kitu cha kunishangaza hapo
Chukulia chapati 70
Kwa muonekano wake mpasue tumbo ondoa kila kitu humo alafu panga hizo chapati 70 humo nafasi lazima itakuwa ndogo tu sasa akizila huwa zinaenda wapi
Ugali kilo nne na makandokando yake ndoo ile ndogo huwenda ikajaa au kukaribia kujaa zinaenda kukaa wapi

Anaomba hata msingi wa mayai kwa kuwa maisha magumu?
Atauza mayai mangapi ili akapate breakfast ya chapati 70

Kwa vituko vingine kama hivi tubonyeze ngapi hapo?
 
Kilo 4 baba+ mke kilo 3 +mtoto kilo 1= familia kilo 8 kila mlo.

Siku moja 8x2= 16 kilo
Hivi kilo ya unga au mchele shingapi !?
Kilo 16x siku 30 = 480 kilo kwa mwezi

Kwa mwaka 480xmiezi 12=5760 yani ni tani kwa watanzania watatu.Bado mtoto hana kuwa hapo

Kilo 4 baba+mke kilo 3+mtoto kakuwa 3= familia kilo 10 kila mlo

Siku moja 10x2=20 kilo

Kilo 20x siku 30=600 kilo kwa mwezi

Mwaka 600xmiezi 12=7200 hapo mtoto anaendelea kukua wametumi tani 7.2


Asante kwa kula
Mfano angekuwa dogo wako halafu anakupigia simu kaka ntakuja huko kwako na mke wangu na mtoto kutafuta vibarua.ntakaa kwa mwezi mambo yakiwa mazuri nahamia kwangu..utafanyaje?
 
Akikosa chakula hana shida ila kikiwepo ni atakula kwa nguvu zote this just says ni ishu ya kisaikolojia. Trying to massage his ego.

So the guy anajiexpress kupitia chakula, kupitia huo ulaji you will see desperation, disappointments and fear.
 
Mfano angekuwa dogo wako halafu anakupigia simu kaka ntakuja huko kwako na mke wangu na mtoto kutafuta vibarua.ntakaa kwa mwezi mambo yakiwa mazuri nahamia kwangu..utafanyaje?

Kila mtu akafie na familia yake.ukiwa na familia kubwa tu unachanganyikiwa alafu uongezee hawo si unafilisika
 
Huyu ilifaa aende jela huko angefaa sana kwa uzalishaji mali,jela ingeshapata mtambo mmoja wa uzalishaji kwa ghara ndgo sana.
Wakti mwingine hizi hbr ziwafikie ma bwana jela,hata apewe mwaliko wa kitembelea gerezani,huko akutwe na kesi ya kuiba simu ya bwana jela,nakwambia hatoki huko mpk atakapoacha kula chakula kingi hivyo.
 
Back
Top Bottom