Kutana na James Hobson, Injinia anayetengeza characters wa Marvels & DC Comics, video games kuwa halisia

giphy.gif
Huyu jamaa alieshika nyundo alikuwa anazidiwa hadi na demu wake anapigwa tu alikuwa ananiudhi
 
Sema sometimes naona tumewekewa limit ya kutofanya vitu flani
There is two kind of people in this world my friend,
Those have everything dont know how to use and those who dont have anthing and can do everything
 
Mh wezetu wapo mbali sana, huku bongo kila siku tunatafuta dawa za kuchelewa kumwaga bao
Akili zetu zimedumazwa na Uwepo wa kila kitu sasa mtu Ana shamba, Chakula uhakika, Maji safi uhakika ana uhakika wa kula msimu hadi msimu unafikiri atawaza nini kama sio ngono, kwa sasa kidogo dunia ina change tunapata challenge ivo akili zinakua
 
Wenzetu sio kwamba hawafuatilii hayo mambo... Ni kwamba hawaishii hapo tu. Yaani, wako ALL IN! Wanafuatilia yote yote.
 
Akili zetu zimedumazwa na Uwepo wa kila kitu sasa mtu Ana shamba, Chakula uhakika, Maji safi uhakika ana uhakika wa kula msimu hadi msimu unafikiri atawaza nini kama sio ngono, kwa sasa kidogo dunia ina change tunapata challenge ivo akili zinakua
Mwalim wangu aliwahi niambia kua Wa Tanzania hatuendelei kwakua hatuna matatizo kama majanga ya kiasili,vita nk. Akatoa mfano wa Japan kule wana matatizo lukuki ya kiasili lakini wameendelea na wanazidi kupata mbinu ya kupambana na matatizo.
Unapopata challenge ndio unazidi kua mbunifu wa kutatua changamoto
 
Comics zao zina historia ya kutosha na fan base kubwa inayoheshimiwa. Wenzetu wanachojua ni kuheshimu kila passion one can have. Thats all.
Sisi sio wafuatilia wa mambo ndio maana wanetuacha mbali. Kwa mfano waweza kuta video zinaonyesha mzungu labda yupo msituni na anachunguza wanyama hafu sisi tunaotazama tunasema wazungu niwajinga mno sasa huko kafuata nini?
 
Spider man home coming ya tom Holland nimeona siyo Kali kama zile za tobey Maguire na amazing spider man ya Andrew Garfield
Tobey alikua amefit sana hapo mkuu.ndio ivo walimuondoa kuendeleza hii muvi..
 
Sisi sio wafuatilia wa mambo ndio maana wanetuacha mbali. Kwa mfano waweza kuta video zinaonyesha mzungu labda yupo msituni na anachunguza wanyama hafu sisi tunaotazama tunasema wazungu niwajinga mno sasa huko kafuata nini?
Sawa kabisa. We are Closed minded.
 
Comics zao zina historia ya kutosha na fan base kubwa inayoheshimiwa. Wenzetu wanachojua ni kuheshimu kila passion one can have. Thats all.
Ni Kweli mkuu,spider Man since 1962 Kutoka kwenye comic mpaka sasa movie, watafanya vitu endelevu, si vya mwaka mmoja Au miwili sijui lini tutafika huko mkuu
 
Akili zetu zimedumazwa na Uwepo wa kila kitu sasa mtu Ana shamba, Chakula uhakika, Maji safi uhakika ana uhakika wa kula msimu hadi msimu unafikiri atawaza nini kama sio ngono, kwa sasa kidogo dunia ina change tunapata challenge ivo akili zinakua
Hivi ni visingizio tuu mkuu, baadaye tutasema mtaji tatizo
 
Back
Top Bottom