k29
JF-Expert Member
- Dec 14, 2014
- 726
- 1,194
Hizi threads hutakiwi kusoma kwenye mwendokasiNimecheka Kwenye. Mwendokasi Kila mtu kanigeukia khaaa
Hizi threads hutakiwi kusoma kwenye mwendokasiNimecheka Kwenye. Mwendokasi Kila mtu kanigeukia khaaa
Huyu jamaa alieshika nyundo alikuwa anazidiwa hadi na demu wake anapigwa tu alikuwa ananiudhi
There is two kind of people in this world my friend,Sema sometimes naona tumewekewa limit ya kutofanya vitu flani
Huyu jamaa alieshika nyundo alikuwa anazidiwa hadi na demu wake anapigwa tu alikuwa ananiudhi
Akili zetu zimedumazwa na Uwepo wa kila kitu sasa mtu Ana shamba, Chakula uhakika, Maji safi uhakika ana uhakika wa kula msimu hadi msimu unafikiri atawaza nini kama sio ngono, kwa sasa kidogo dunia ina change tunapata challenge ivo akili zinakuaMh wezetu wapo mbali sana, huku bongo kila siku tunatafuta dawa za kuchelewa kumwaga bao
Wenzetu sio kwamba hawafuatilii hayo mambo... Ni kwamba hawaishii hapo tu. Yaani, wako ALL IN! Wanafuatilia yote yote.Mh wezetu wapo mbali sana, huku bongo kila siku tunatafuta dawa za kuchelewa kumwaga bao
Mwalim wangu aliwahi niambia kua Wa Tanzania hatuendelei kwakua hatuna matatizo kama majanga ya kiasili,vita nk. Akatoa mfano wa Japan kule wana matatizo lukuki ya kiasili lakini wameendelea na wanazidi kupata mbinu ya kupambana na matatizo.Akili zetu zimedumazwa na Uwepo wa kila kitu sasa mtu Ana shamba, Chakula uhakika, Maji safi uhakika ana uhakika wa kula msimu hadi msimu unafikiri atawaza nini kama sio ngono, kwa sasa kidogo dunia ina change tunapata challenge ivo akili zinakua
Sisi sio wafuatilia wa mambo ndio maana wanetuacha mbali. Kwa mfano waweza kuta video zinaonyesha mzungu labda yupo msituni na anachunguza wanyama hafu sisi tunaotazama tunasema wazungu niwajinga mno sasa huko kafuata nini?Comics zao zina historia ya kutosha na fan base kubwa inayoheshimiwa. Wenzetu wanachojua ni kuheshimu kila passion one can have. Thats all.
Mh wezetu wapo mbali sana, huku bongo kila siku tunatafuta dawa za kuchelewa kumwaga bao
Sawa kabisa. We are Closed minded.Sisi sio wafuatilia wa mambo ndio maana wanetuacha mbali. Kwa mfano waweza kuta video zinaonyesha mzungu labda yupo msituni na anachunguza wanyama hafu sisi tunaotazama tunasema wazungu niwajinga mno sasa huko kafuata nini?
Ni Kweli mkuu,spider Man since 1962 Kutoka kwenye comic mpaka sasa movie, watafanya vitu endelevu, si vya mwaka mmoja Au miwili sijui lini tutafika huko mkuuComics zao zina historia ya kutosha na fan base kubwa inayoheshimiwa. Wenzetu wanachojua ni kuheshimu kila passion one can have. Thats all.
Hivi ni visingizio tuu mkuu, baadaye tutasema mtaji tatizoAkili zetu zimedumazwa na Uwepo wa kila kitu sasa mtu Ana shamba, Chakula uhakika, Maji safi uhakika ana uhakika wa kula msimu hadi msimu unafikiri atawaza nini kama sio ngono, kwa sasa kidogo dunia ina change tunapata challenge ivo akili zinakua
huyu hapaSijamuona huyu mkuu. Ngoja nimfuatilie ila nae huyu alitumia maji kupaa kama iron man