Kutana na fundi mahiri wa ujenzi wa nyumba

Naomba Ramani nzuri ya Guest House/Lodge ya vyumba nane vyote self contain nipe na makadilio ya ghalama zote mpka finishing
Ili tuweze kufanya kazi
 
Habari zenu wadau?..... Kwa wale wajuv, naomba kujua juu ya mchakato kabla ya kuanza ujenzi, je ni lazima kufuatilia kibal cha ujenzi ofisi za ardhi? Je ili kupata hcho kibal kuna gharama za kulipia? Zip?...... Kama si lazima bas ipi njia salama ktk mchakato (kujenga) kuepuka kubomolewa.......,.... Eneo lenyewe ni jpya watu ndio wanaingia kujenga na viwanja vng havijapmwa including lang........ Ur opinion plz/tafadhal
Serikali za mitaa/Mwenyekiti wa mtaa ndio anahusika hapo.
 
Hivi kujenga chumba kimoja na sebule kwa kutumia tofali 700 gharama za ufundi hadi kupaua ni Shangapi?
Na gharama zote za ujenzi ni kiasi gani
Vitu vinavyosaidia kujua Bei iwe kiasi gani ni Kama vifuatavyo:
1. Size/ukubwa wa nyumba au vyumba
2: landscape ya eneo. Kama tambalale au mteremko!
3: location ya site.
4. Tabia ya client. Kama mteja muungwana basi fundi nae atakuwa muungwana lkn Kama mteja jeuri fundi nae atakuwa jeuri.
Hivyo basi ili nijue labour lazima nifike site kwanza
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom