publito
JF-Expert Member
- Nov 13, 2016
- 551
- 616
Nyumba kama hii nikitaka unijengee msingi pekee utafanya bei gani?
Nyumba kama hii nikitaka unijengee msingi pekee utafanya bei gani?
Kwa bei hiyo ni pamoja na gharama za fundi + vifaa ?Jumla tshs 5mil
NdioKwa bei hiyo ni pamoja na gharama za fundi + vifaa ?
Ndio
Wakati unanitumia vipimo vya mita ulielewa ukubwa wake? Mm nilidhani wewe no mhindi na unataka kujenga Nyumba kama za India .
Kwa vipimo ulivyonipa Nyumba hiyo inaweza zidi ukubwa wa nusu kiwanja
ItaongezekaMimi kiwanja changu kipo kwenye mteremko
Vp bei yake yaweza kuongezeka kwa kiasi gani
Itaongezeka
Kuhusu kiasi mpaka nione slope inaukubwa gani
Karibuni
Karibuni
Karibuni
Karibu
Karibu
Karibuni
Karibuni
Karibuni