Fundi mahiri wa ujenzi
JF-Expert Member
- Dec 10, 2012
- 3,954
- 2,439
- Thread starter
- #261
Tujadili
Tujadili
Picha zaidi utazipata ktk page yangu ya istagram. Fundi mahiri wa ujenziView attachment 862778
SawaSikia mkuu, wengine sie hayo mambo ya Facebook na Insta hatushugiliki navyo, huko tunawaachia watoto tu.
Karibuni
Tujadili
Sorry Mkuu una fundi mzuri wa Interlock ?Hivi nikitaka kujenga nyumba ya ghorofa moja lakini katika kusave gharama nikanunua cement na nondo kutoka kiwandani moja kwa moja as a retailer, nitakua nimesave au nothing changed? Kama nitafanikiwa kusave ni kiasi gani?
Tofali nitapendelea ya interlock
Ndio