Kutana na fundi mahiri wa ujenzi wa nyumba

pmoses95

JF-Expert Member
Joined
Dec 10, 2012
Messages
2,869
Points
2,000

pmoses95

JF-Expert Member
Joined Dec 10, 2012
2,869 2,000
Ni Fundi ujenzi mahiri wa majengo ya kuishi, majengo ya biashara na majengo ya ibada. Kazi inafanywa kwa ubora wa viwango vya juu. Gharama zangu ni ndogo kulingana na uchumi wa mtanzania.

Pia, nafanya marekebisho ya Nyumba zenye muonekano wa kizamani kuwa na muonekano wa kileo/kisasa. Kazi zinakamilika kwa wakati kwa mujibu wa makubaliano.

PIA, NATENGENEZA MFUMO MAJI TAKA AMBAO HAUJAZI MASHIMO YA VYOO KAMWE.

Napatikana Dar es salaam. Pia, unaweza kunipata Instagram kama 'FUNDI MAHIRI WA UJENZI'

Mawasiliano.

0693179844
Whatsap 0655173113
Barua pepe:
pmoses951@gmail.com
 

pmoses95

JF-Expert Member
Joined
Dec 10, 2012
Messages
2,869
Points
2,000

pmoses95

JF-Expert Member
Joined Dec 10, 2012
2,869 2,000
Tembelea page yetu,
Tu-Follow;

Uwe - updated na Nyumba au Apartments
ambazo tunazipost kila siku.

Ok
 

Thesis

JF-Expert Member
Joined
Aug 30, 2017
Messages
750
Points
1,000

Thesis

JF-Expert Member
Joined Aug 30, 2017
750 1,000
Mkuu nyumba ya SQM 173 Msingi unaweza tumia tofari ngapi? Labour charge kwa msingi tu inaweza kuwa bei gani? Mahali ni dodoma, site ya ujenzi ipo tambalale
 

Forum statistics

Threads 1,365,388
Members 521,200
Posts 33,345,317
Top