Kutana na fundi mahiri wa ujenzi wa nyumba

pmoses95

JF-Expert Member
Joined
Dec 10, 2012
Messages
2,844
Points
2,000

pmoses95

JF-Expert Member
Joined Dec 10, 2012
2,844 2,000
Ni Fundi ujenzi mahiri wa majengo ya kuishi, majengo ya biashara na majengo ya ibada. Kazi inafanywa kwa ubora wa viwango vya juu. Gharama zangu ni ndogo kulingana na uchumi wa mtanzania.

Pia, nafanya marekebisho ya Nyumba zenye muonekano wa kizamani kuwa na muonekano wa kileo/kisasa. Kazi zinakamilika kwa wakati kwa mujibu wa makubaliano.

PIA, NATENGENEZA MFUMO MAJI TAKA AMBAO HAUJAZI MASHIMO YA VYOO KAMWE.

Napatikana Dar es salaam. Pia, unaweza kunipata Instagram kama 'FUNDI MAHIRI WA UJENZI'

Mawasiliano.

0693179844
Whatsap 0655173113
Barua pepe:
pmoses951@gmail.com
 

pmoses95

JF-Expert Member
Joined
Dec 10, 2012
Messages
2,844
Points
2,000

pmoses95

JF-Expert Member
Joined Dec 10, 2012
2,844 2,000
Tuan
Nyumba ya vyumba vi4 +master vya ukubwa wa mitre 6 kwa 8 na vyoo/bafu zake kwa ndani, sitting room ya ukubwa wa mitre 10 kwa 12 na public toilets, family hall iwe na ukubwa wa mita 12 kwa 12 na public toilets, madrisha makubwa ya aluminium. Je itacostmm ngapi mpaka mnanikabidhi
Tuanze na mchoro na tufike kuona kiwanja ili kujua gharama halisi
 

funzadume

JF-Expert Member
Joined
Jan 28, 2010
Messages
9,535
Points
2,000

funzadume

JF-Expert Member
Joined Jan 28, 2010
9,535 2,000
Nipo kwenye mchakato wa kutaka kujenga apartment za nzuri na bora lakini kwa bei nafuu. Ziwe stadard zinazoweza kukaliwa na watu wenye kipato cha kati. Nataka kujua round figure ya gharama zake kwa apartment za vyumba viwili na vilevile vitatu. Vyumba viwili kuwe na master moja, living room, dining, kitchen/small store, public toilet. Nafahamu kuwa ukijenga kwa kuunganisha kama ni nyingi gharama inashuka, sasa nifanyie wastani wa gharama ya kujenga apartment 12 za vyumba viwili zilizojengwa kama nyumba moja kwa design ambayo wewe unaijua. Then angalia gharama ya apartment 4 za vyumba vitatu ikijengwa pamoja na apartments 6 zenye vymba viwili. Just provide me with an average cost of the complete apartment which includes all costs of construction materials plus labour, nyumba iliyo tayari kutumika. Thanks
Hapo naona kama umechanganya madawa ndg yangu. Huyo jamaa ni fundi ujenzi kwa maana ya contractor na sio architect wala QS. Hizo ni kazi za watu watatu tofauti umeongelea hapo, ungeanza na kuchora ramani, then ungem-consult QS (mkadiriaji majengo) akupe makisio halafu mwisho ndio unamtafuta huyu mtoa mada kwa ajili ya kukujengea
 

Forum statistics

Threads 1,353,175
Members 518,272
Posts 33,073,437
Top