Kutana na dalali mkongwe Morogoro mjini

Natafuta kiwanja kikubwa na kizur kilicho karibu na miundombinu yote ,,morogoro mjini hasa maeneo ya forest,kilakala,Area 5 na maeneo mengine ya kishua kwa morogoro
 
Dalali nauza nyumba yangu eneo la mkundi. Nyumba ina vyumba vitatu, sebule, dinning na jiko. Nyumba imesha pigwa bati bado finishing nyingine na ipo kwenye eneo lenye ukubwa takribani Ekari 2. Bei 20M
 
Ukipata mteja anahitaji nyumba ipo Kichangani ina vyumba 11 choo na frem ya duka kwa nnje

nicheki PM nikuelekeze vizuri
 
Mkuu dalali nahitaji shamba mkoani morogoro Hecta 500 hivi, liwe narutumba pia maji yawe jirani kama utapata nicheki pm tuyajenge
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom