Kutambua picha

Hapo mashine lazima itumike. Huwezi kung'amua hivihivi bila mashine. Cha kufanya anzia ku google kwenye mashine.
 
Kama picha ipo online unaweza kujua imewekwa lini. Ila kuhusu siku iliiyopigwa ni issue nyingine.
Ngoja watalaam waje
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom