Kutalii south africa

tanga kwetu

JF-Expert Member
May 12, 2010
2,193
1,434
mimi ni mfanyakazi wa serikali. nina mke na mtoto. kazi yangu inanilipa vizuri tu. nahitaji kutembelea Afrika Kusini kwa mapumziko mafupi ya wiki moja mwanzoni mwa march,2011. natafuta taarifa za visa requirements kwa internet sijapata. naomba kama kuna mtu anajua anipe hints.
 
Nakushauri uende ubalozi wa RSA nchini Tanzania (kama upo)

*** Hakuna haja ya kwenda SA kutupa hela, nenda mbugani, mlima kilimanjaro, Zanzibar, etc. Nina uhakika hujawahi kanyaga hata mikumi wewe :)
 
...nini kinatakiwa katika category ya watu na purpose kama yangu?

asante in advance!
 
CBZ asante kwa ushauri wako. Mikumi NP nimeshafika mara 4 na mara ya mwisho ilikuwa tarehe 27/11/2010 katika kusheherekea graduation yangu. Serengeti NP mara 2. Ngorongoro mara 1. Bagamoyo mara 1. Amboni caves mara 3. Kwa Tanzania nafikiri inatosha. Pia RSA kuna ishu nataka kwenda kuulizia physically. so kuhusu utalii wa ndani naomba usicheze nami. ni-PM nikupe ma-photo.
 
mimi ni mfanyakazi wa serikali. nina mke na mtoto. kazi yangu inanilipa vizuri tu. nahitaji kutembelea Afrika Kusini kwa mapumziko mafupi ya wiki moja mwanzoni mwa march,2011. natafuta taarifa za visa requirements kwa internet sijapata. naomba kama kuna mtu anajua anipe hints.
Check hiyo document
View attachment TANGAZO PASPOTI.pdf

So nenda ubalozini utapata maelekezo ya kutosha kabisa.
 
mimi ni mfanyakazi wa serikali. nina mke na mtoto. kazi yangu inanilipa vizuri tu. nahitaji kutembelea Afrika Kusini kwa mapumziko mafupi ya wiki moja mwanzoni mwa march,2011. natafuta taarifa za visa requirements kwa internet sijapata. naomba kama kuna mtu anajua anipe hints.
Dear Partner in Travel,

Since the implementation of the transit visa requirement for Tanzanian Passport Holders to South Africa, SAA heard your pleas and championed your cause with the assistance of the South African High Commissioner and the Mission in Dar es Salaam. We have finally received a positive result that we are thrilled to share with you!

South African Airways is proud to announce that Tanzanian Citizens no longer require a visa or transit visa for travel to South Africa, from the 01st of November 2010.

We are ecstatic to announce that our efforts in this regard has paid off, today SAA received confirmation from the South African High of this waiver.

For your ease of reference please find attached notes that has been posted at the SA Mission that will assist you in implementing these changes with immediate effect.

Yours in Travel,

South African Airways
Dar es Salaam

+255 22 211 7044 / 45 / 46 / 47
 
Back
Top Bottom