LITA2019
JF-Expert Member
- Dec 18, 2019
- 487
- 1,025
Mkuu umewahi kupita shule na kusoma hilo somo? Wew huwezi kuwa Muislamu, acha kuchafua imani za watu mkuu.Hilo somo liitwe Arabic tribe and taboo kwani maada za humo haziendani na Islam kwani wao wanafundisha kufa kwa ajili ya uisilamu na sio kuishi kwa ajili ya uisilamu. Watoto wangu watasoma Qur'an tu na sio miduni na majini