Kutahiri na kupasha tohara

njia ya saada

JF-Expert Member
Sep 3, 2018
317
250
Kumtahiri mwanamume
Ni kuondoa kigozi kinachofunika kichwa cha dhakari kwa mwanamume.

Kumpasha tohara mwanamke
Ni kukata kinyama kilichozidi kilichoko juu ya sehemu ya kuingiza dhakari ya mwanamume.

Kutahiri ni kwa mwanamume, na kupasha tohara ni kwa mwanamke kwa kuwa mtume ﷺ alimwambia Ummu Atiyyah: (Kata kidogo wala usifeke, kwani kufanya hivyo kunakufanya hapo mahali pawe na maangalizi mazuri na kunamfurahisha mume ) [ Imepokewa na Hakim].

Na kutahiri ni lazima kwa wanaume, ni sunna kwa wanawake.

Na hekima ya mwanamume kutahiriwa ni kuitwahirisha dhakari na najisi iliyopo kwenye kigozi kinachofunika kichwa cha dhakari. Ama kwa mwanamke ni kule kung’ara kwa uso wake.
https://www.al-feqh.com/sw/sunna-za-kimaumbile
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom