KUTAFUTA SIFA KWENYE TV NDO KUMEWAFANYA MNYIKA,ZITTO,SELUKAMBA KUHAMA MAJIMBO YAO YA AWALI

kanone

JF-Expert Member
Oct 10, 2013
6,188
1,576
Mnyika,zitto, selukamba ni wabunge waliojipatia sifa kubwa bungeni kupitia bunge kuonyeshwa live lakini ni miongozi mwa wabunge mizigo majimboni KWAO ambao hawajafanya kitu ,
Na kupelekea kuhama.MAJIMBO YAO ya swali ,
Ukweli haupingiki,
Mnyika,zitto,selikamba mngegombea kwenye MAJIMBO yenu ya swali ubunge mngeusikia kutokana na majimboni kwenu kutofanya kitu,sawa na MTU kama wasira,
Wabunge badirikeni,
Sisi tunaishukuru selikani ni zamu yetu sasa mbunge.ambaye hataonekana jimboni KWAKE ndo anajifuta mwenyewe ubunge maana sifa yako pekee ya kuwa mbunge lazima uonekane ukitumikia wananchi jimboni,
JIFUNZE kwa DEO f lunjombe
 
Huhuhuhuhuhu..
1.Elimu
2.Elimu
3.Elimu

Eti unakimbilia kuandika 'News Alert'.... Ulimbukeni huu
 
Mnyika,zitto, selukamba ni wabunge waliojipatia sifa kubwa bungeni kupitia bunge kuonyeshwa live lakini ni miongozi mwa wabunge mizigo majimboni KWAO ambao hawajafanya kitu ,
Na kupelekea kuhama.MAJIMBO YAO ya swali ,
Ukweli haupingiki,
Mnyika,zitto,selikamba mngegombea kwenye MAJIMBO yenu ya swali ubunge mngeusikia kutokana na majimboni kwenu kutofanya kitu,sawa na MTU kama wasira,
Wabunge badirikeni,
Sisi tunaishukuru selikani ni zamu yetu sasa mbunge.ambaye hataonekana jimboni KWAKE ndo anajifuta mwenyewe ubunge maana sifa yako pekee ya kuwa mbunge lazima uonekane ukitumikia wananchi jimboni,
JIFUNZE kwa DEO f lunjombe
Mbunge gani amefanya kitu jimboni kwake?
 
Kwa mnyika ni kweli ni mzigo ila kwa zzk hapana kwani ulikua ni mkakati wa ACT kuongeza idadi ya wabunge bungeni.
Zzk amefanya vizuri sana jimboni na hata kitaifa hivyo kwake ushindi ni popote,
Kutokana na kazi nzuri aliowafanyia wanakigoma kaskazini ZZK alijiamini juu ya ushawishi alionao jimboni kwake hivyo aliamini yeyote atakaye mpeleka kwa wana kigoma kaskazini nakumnadi atashinda.
Huu ndio ulikua mkakati wa ZZK lakini hata hivyo haukuzaa matunda,hivyo si kweli kwamba alikimbia jimbo kwakuhofia kushindwa.
 
Bro unajua zitto ni mbunge wangu jimbo LA swali alilomuachia serukamba zitto angebaki angeoshwa vibaya sana na ukawa,
 
Yaeelekea hata kazi za mbunge huzielewi wewe,kama ulisoma civics wala usingeandika huu utumbo wako.
Mnyika,zitto, selukamba ni wabunge waliojipatia sifa kubwa bungeni kupitia bunge kuonyeshwa live lakini ni miongozi mwa wabunge mizigo majimboni KWAO ambao hawajafanya kitu ,
Na kupelekea kuhama.MAJIMBO YAO ya swali ,
Ukweli haupingiki,
Mnyika,zitto,selikamba mngegombea kwenye MAJIMBO yenu ya swali ubunge mngeusikia kutokana na majimboni kwenu kutofanya kitu,sawa na MTU kama wasira,
Wabunge badirikeni,
Sisi tunaishukuru selikani ni zamu yetu sasa mbunge.ambaye hataonekana jimboni KWAKE ndo anajifuta mwenyewe ubunge maana sifa yako pekee ya kuwa mbunge lazima uonekane ukitumikia wananchi jimboni,
JIFUNZE kwa DEO f lunjombe
 
Mnyika,zitto, selukamba ni wabunge waliojipatia sifa kubwa bungeni kupitia bunge kuonyeshwa live lakini ni miongozi mwa wabunge mizigo majimboni KWAO ambao hawajafanya kitu ,
Na kupelekea kuhama.MAJIMBO YAO ya swali ,
Ukweli haupingiki,
Mnyika,zitto,selikamba mngegombea kwenye MAJIMBO yenu ya swali ubunge mngeusikia kutokana na majimboni kwenu kutofanya kitu,sawa na MTU kama wasira,
Wabunge badirikeni,
Sisi tunaishukuru selikani ni zamu yetu sasa mbunge.ambaye hataonekana jimboni KWAKE ndo anajifuta mwenyewe ubunge maana sifa yako pekee ya kuwa mbunge lazima uonekane ukitumikia wananchi jimboni,
JIFUNZE kwa DEO f lunjombe
Wewe huna tofauti na wale Mashangingi wa Tandale
 
Hapo kwa mnyika umechemka maana hakukimbia jimbo ila lililokuwa jimbo lake limegawanywa ( mwanzo kibamba na ubungo lilikuwa jimbo moja ) kwa maana hiyo maamuzi yalikuwa yake aende wapi.
 
Mnyika,zitto, selukamba ni wabunge waliojipatia sifa kubwa bungeni kupitia bunge kuonyeshwa live lakini ni miongozi mwa wabunge mizigo majimboni KWAO ambao hawajafanya kitu ,
Na kupelekea kuhama.MAJIMBO YAO ya swali ,
Ukweli haupingiki,
Mnyika,zitto,selikamba mngegombea kwenye MAJIMBO yenu ya swali ubunge mngeusikia kutokana na majimboni kwenu kutofanya kitu,sawa na MTU kama wasira,
Wabunge badirikeni,
Sisi tunaishukuru selikani ni zamu yetu sasa mbunge.ambaye hataonekana jimboni KWAKE ndo anajifuta mwenyewe ubunge maana sifa yako pekee ya kuwa mbunge lazima uonekane ukitumikia wananchi jimboni,
JIFUNZE kwa DEO f lunjombe
Kwa nijuavyo mm. Kazi ya bunge ni kuihoji na kuisimamia serikali. Sasa napata shida kufikiria kiwango cha elimu yako maana kama hakukuwa na umuhimu wa wabunge kuhoji basi huyo waziri wenu hakuwa na haja ya kutangazia bungeni suala la kutokurusha matangazo
 
Back
Top Bottom