Kutafuta jinsia ya mtoto kabla hajazaliwa

Vipi na mim nikigonga daily nitapata wa kiume ? Maana c nitakuwa nimeweka ya siku hiyo? Hizo x zinazokaa masaa 72 bado zitakuwa zimetake place?

Cha msingi ni ovulation days na aina ya ute. Kwa maana unaweza kugonga daily but ute ukiwa mzito bado utapata wa kike. Hizo zinazokaa 72 hours bado zitaendelea ku-accumulate zingine zikifa nyingine zikiendelea kuwepo.
 
Okey mkuu pamoja nimekusoma
 
Nimewahi kufahamu njia inayokuwezesha kupata mtoto jinsia uitakayo. Kama kuna asiyefahamu basi nitaeleza. Mwanamke ana chromosomes XX, na mwanaume ana chromosomes XY.

MTOTO WA KIUME:
Mtoto wa kiume hupatikana kwa kuunganisha mbegu za kiume Y kukutana na ya kike X. Mbegu za kiume Y zina sifa ya kuwa na kasi sana kuliko X. Pamoja na kasi hizo sio stahimivu, zinakufa mapema sana. Ili upate mtoto wa kiume hakikisha unakutana na mwenza wako katika kipindi ambacho anatoa ute mwepesi, kwa kuwa mbegu Y zitakuwa na uwezo wa kusafiri kwa kasi bila kipingamizi. Ute ukiwa mzito basi zinachoka na kufa njiani.

MTOTO WA KIKE:
Huyu anapatikana kwa muunganiko wa X ya kiume na X ya kike. Mbegu za X hazina kasi na ni stahimivu. Kupata mtoto wa kike ni rahisi kuliko wa kiume. Hizi X zina uwezo wa kuishi masaa 72..sawa na siku 3. Hivyo basi unaweza kukutana na mke wako siku tatu kabla ya yai halijapevuka. Pia ute ute ukiwa mzito mtoto wa kike utampata kwa kuwa mbegu X zina ongelea kwa muda mrefu, hazichoki na kufa kwake ni masaa 72.

Baada ya hayo, naomba kujulishwa nani anafahamu mbinu za kupata watoto mapacha.?

Huo ute mwepesi unaweza kuwepo labda baada ya siku ya ngapi kutoka hedhi (estimations) maana si kila mtu anaweza kugundua kuwa huu ni mwepesi au huu ni mzito?
 
Huo ute mwepesi unaweza kuwepo labda baada ya siku ya ngapi kutoka hedhi (estimations) maana si kila mtu anaweza kugundua kuwa huu ni mwepesi au huu ni mzito?

Kwa hapo sifahamu..ila uzito unaujua kwa kutest na kidole. Ni kama vile unavyoangalia uzito wa oil kwenye gari yako.
 
Yai la kike linakomaa siku ya kumi na nne tangia aanze kuona hedhi na hio ndo ovulation day ukisex sku hio ndio kuna posbility kubwa ya kupata mtoto wa kiume, na kuanzia sku ya kumi na moja ndio unaweza kupata mtoto, sababu ni kama zilivoelezwa na mkuu hapo juu.
 
Mkuu mke wangu anatatizo wamemwambia tatizo lake. Ni homon imbalance. Cjui nifanye nn I real like kupata mtoto ni mwaka na miez sasa tangu nioe. Siku zake zinakuja bila mpangilio baada ya miez 2.mara siku 70 Cjui hata nifanye nn
 
nmeelewa ila elimu ya timing na cku zipi tangu hedhi ni elimu ya msingi sana km kuna mwenye uelewa zaidi atujuze
 
Mkuu kuna fertility clinic moja ipo mikochen kama upo dar wanaweza kukutatulia tatizo lako lkn kuwa na mwez mrefu wa ovulation inatokea kwa baadh ya wanawake sio tatizo la kufanya aipate mtoto cha muhm angalia siku anapoanza kuona hedhi hesab kuanzia siku hiyo hadi kuanzia siku ya kumi na moja had kumi na sita ukiwa unamgonga siku hizo ndio kuna uwezekano wa kupata mimba. SANA SANA SIKU YA KUMI NA NNE NDIO KILELE CHA OVULATIPN YAI LINAKUWA LIMEKOMAA shinjikazola
 
Last edited by a moderator:

Shukran mkuu. Ila niko mwanza so kwa sasa ni ngumu kuweza kufika hapo mikochen. Kuhusu kugonga leo anasiku ya kumi na moja tangu amalize cku zake. Toka alipo maliza mpaka Leo kila siku ninagonga daily.
 
Last edited by a moderator:
Kuhesabu siku mkuu unaanza siku anayoanzia kubleed yaan anapoanza kuoona dam ndio mtiririko wa siku unavoenda kitu kingne ili ili kujihakikishia kwamba una sperm zilikomaa ni vema unapoona anaanza bleed ukaacha kumgonga had siku nilizoandika hapo juu
 
Mkuu kama cjakuelewa vile ?akianza kubleed huwa naacha kabisa Mpaka anapomaliza ndio nasex tena akimaliza napitisha kama saa 24
 
Back
Top Bottom