Kutafuna kucha na utata ! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kutafuna kucha na utata !

Discussion in 'JF Doctor' started by Columbus, Dec 16, 2011.

 1. Columbus

  Columbus JF-Expert Member

  #1
  Dec 16, 2011
  Joined: Nov 5, 2010
  Messages: 2,010
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Nimegundua nina tatizo sugu la kutafuna kucha kiasi kwamba sikumbuku ni lini nilitumia wembe au nail cutter, je hili ni tatizo gani na nawezaje kukabiliana nalo? Pia nina mazoea ya kunawa pale ninapomuanda mpenzi wangu kabla ya game, condom naitumia vizuri lakini je hivi vidole vyangu vinaweza kuwa ndio media ya kupitisha VVU? uwezekano huo uko kwa kiasi gani?
   
 2. p

  pilu JF-Expert Member

  #2
  Dec 16, 2011
  Joined: Dec 16, 2011
  Messages: 488
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  jipe moyo kuna wataalamu wengi humu so utapata majibu sahihitu, hilo tatizo nikubwa na linakabili wengitu.
   
 3. HAZOLE

  HAZOLE JF-Expert Member

  #3
  Dec 16, 2011
  Joined: Feb 25, 2011
  Messages: 1,333
  Likes Received: 64
  Trophy Points: 145
  ukishazoea kutafuna kucha una-addict na unashindwa kuacha. na mtafunaji sana inafikia wakati unajing'ata. so, kumuandaa mpenzi wako inamaana unamchokonoa K?? angalia utamchana kitumbua na atakushitaki kwa jirani
   
 4. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #4
  Dec 16, 2011
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Unaweza sana kuacha.Ni kiasi cha kuamua tu.
  Mwenyewe nlikua nazitafuna mpaka vidole vinauma ila sasa hivi kucha zangu zangu zinakua mpaka mwenyewe niamue kuzikata.
   
 5. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #5
  Dec 16, 2011
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Hey mtoa mada, jichunguze ujue hua ung'ata kucha wakati gani. Ukiwa nervous, ukiwa umeboreka, ukiwa umekasirika?Hizo ndio zilikua sababu zangu.
  Nwy ukishajua ni wakati gani hua unazing'ata tafuta kitu ambacho utakua unafanya wakati huo instead. Ukifanikiwa kufanya hivyo kwa muda mwenyewe utazoea mpaka usihitaji tena hata hicho ulichokua unatumia kujizua kula kucha.
   
 6. TANMO

  TANMO JF-Expert Member

  #6
  Dec 17, 2011
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 8,919
  Likes Received: 220
  Trophy Points: 160
  Hivi kwani ni vibaya kukata kucha za mikono kwa meno? Manake nikitumia nail cutter huwa sichelewi kujikata.
   
 7. HAZOLE

  HAZOLE JF-Expert Member

  #7
  Dec 17, 2011
  Joined: Feb 25, 2011
  Messages: 1,333
  Likes Received: 64
  Trophy Points: 145
  yes si vema,
  1. sometimes mikono michafu na unaweza pata bacteria
  2. pia hazipendezi ziking'atwa
   
 8. Mbimbinho

  Mbimbinho JF-Expert Member

  #8
  Dec 17, 2011
  Joined: Aug 1, 2009
  Messages: 6,027
  Likes Received: 2,868
  Trophy Points: 280
  Maelezo mazuri, mimi pia nina tabia hii, mimi huwa ni kutokana na kufikiria, na kadri navyoumiza kichwa ndivyo speed ya kula kucha inavyozidi na nimegundua kuwa kipindi cha mitihani ndo huwa napata hadi vidonda vidoleni. Kwa case yangu nifanye gaje?
   
 9. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #9
  Dec 17, 2011
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Pole aiseee, mi nilikua natafuna mpaka zinaisha na bado naendelea mpaka mtu ukitia mikono kwenye maji tu unaugulia maumivu.

  Well kama ni livyosema hapo juu ni kiasi tu cha kutafuta kitu ambacho utafanya badala ya kutafuna kucha.Cha kwanza ni ukiona unataka kuweka mkono mdomoni take a break and calm yourself down. Simama uchungulie nje kwa dakika tano, funga macho kwa dakika tano bila kufikiria ulichokua unajihusisha nacho mwanzo, go get yourself a glass of water au kula hata tunda. Yani fanya chochote kile ambacho kitapumzisha akili yako angalau kwa dakika tano.Alafu baadae unaweza ukafanya mazoea, sio mpaka ujikute unataka kula kucha, jipangie kwamba ntasoma kwa lisaa alafu ntapumzika dakika tano kabla ya kuendelea.Hii itakuasaidia usihisi umeelemewa.
   
 10. Leonard Robert

  Leonard Robert JF-Expert Member

  #10
  Dec 17, 2011
  Joined: Apr 22, 2011
  Messages: 9,150
  Likes Received: 2,472
  Trophy Points: 280
  mimi nasubiri swali pili lijibiwe uhusiano wa kung'ata kucha na maambukizi ya ukimwi.
   
 11. regam

  regam JF-Expert Member

  #11
  Dec 17, 2011
  Joined: Jan 4, 2011
  Messages: 268
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Hapo kwenye "Simama uchungulie nje kwa dakika tano, funga macho kwa dakika tano bila kufikiria ulichokua unajihusisha nacho mwanzo, go get yourself a glass of water au kula hata tunda. Yani fanya chochote kile ambacho kitapumzisha akili yako angalau kwa dakika tano"pananitatiza. Hivi mie sasa niko kwenye 5 5 sasa hayo maji na glasi nayapata wapi?
  Na nilisha ng'ata tayari kucha!
   
 12. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #12
  Dec 17, 2011
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Hilo ni obvious kua linawezekana.
  Sehemu yoyote ya mwili ikiwa na kidonda unaweza ambukizwa kwa kupitia sehemu hiyo. Mf. Mshkaji hapo juu katika harakati za kuridhishana na mpenzi wake akamkwangua/mjuchubua kwa bahati mbaya alafu vidonda vya kucha vikaguswa na damu kidogo toka kwenye ule mchubuko huo ndio utakua mwanzo wa maambukizi.
   
 13. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #13
  Dec 17, 2011
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160

  5 5. . . . ??????
  Alafu kama.ulishang'ata tayari hazioti tena?
   
 14. ngoshwe

  ngoshwe JF-Expert Member

  #14
  Dec 18, 2011
  Joined: Mar 31, 2009
  Messages: 4,075
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 145
  Unaupungufu wa madini "K" namaanisha "K" .
   
 15. l

  lwampel JF-Expert Member

  #15
  Dec 19, 2011
  Joined: Feb 28, 2011
  Messages: 208
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 33
  Pole sana mkubwa hata mm ninatatizo hilo kama lako, nimejitahidi kuacha lakini nafsi imenishinda kwa sababu nahisi kucha tamu sana, lakini kuna njia mpya nimefikilia huwenda ikatusaidia mm nawewe kuacha tabia hii ambayo ni kubandika vipande vidogo vya plasta ktk kucha hasa pale unapojisikia kuzitafuna, let us try this.
   
 16. kitalolo

  kitalolo JF-Expert Member

  #16
  Dec 20, 2011
  Joined: Dec 4, 2006
  Messages: 1,846
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 135
  kucha ni sehemu au njia ya kutolea uchafu au sumu mwilini hivyo ukizila unarudisha sumu mwilini na kuna uwezekano mkubwa wa kupatwa na matatizo ya tumbo
   
Loading...