Kutafuna Big G huongeza umakini katika kufanya kazi

Miss Zomboko

JF-Expert Member
May 18, 2014
4,495
9,275
Kutafuna Big G huongeza umakini katika kufanya kazi pamoja na kuongeza tahadhari kwa mhusika. Huongeza pia usikivu, umakini pamoja na uchangamfu hasa kwa mtu anayefanya kazi moja kwa muda mrefu.

Utafiti wa Andrew P. Smith, Emma Wadsworth pamoja na wenzao unaelezea pia faida za big g kwenye kuondoa stress za kazi, kuongeza ufanisi wa kazi pamoja na kumfanya mtu ajisikie vizuri. Big g hutoa mchango mkubwa katika kukabili changamoto ya msongo wa mawazo pamoja na uchovu.

=======

A piece of gum can make or break a kiss, save you from offending a co-worker with your post-lunch breath, or give you that little refresher your mouth needs. But did you also know chewing gum has loads of health benefits? Here are some of the perks:

Slim your waistline​

According to a study by the University of Liverpool, chewing gum can slightly curb your cravings, which may help you make better eating choices. On average, the gum chewers in the study ate 36 fewer calories than those who didn’t chew gum. That doesn’t sound all that impressive, but if you cut 36 calories out of your diet every day, it adds up.

Burn calories just by chewing​

Sure, you only burn 11 calories an hour from chewing a stick of gum, but times that by several hours, and you may be shaving an extra 50 plus calories from your day.

Keep your teeth healthy​

As long as it’s sugarless, chewing gum for 20 minutes after you eat can help protect your teeth by removing food debris and increasing your saliva flow. Your saliva strengthens your tooth enamel because it carries phosphate and calcium.
The American Dental Association actually recommends chewing gum to prevent cavities.

Improve memory​

When you chew gum, it increases blood flow to your brain. This has a lot of positive effects including improving your memory. In his research, professor Andrew Sholey discovered your short-term memory could be improved 35 percent by chewing a stick of gum. But be cautious: chewing on it for too long can decrease your short-term memory.

Fight drowsiness​

If you struggle to stay alert at work, chewing gum could be the simple solution you’re looking for. One study revealed chewing gum can fight sleepiness. Anything mint flavored is the most effective gum to battle midday yawns.

Reduce heartburn​

Following up a meal with a stick of gum can lower the acid levels in your esophagus. This may help reduce acid reflux and heartburn.

Lessen depression​

Chewing gum twice daily for two weeks reduced anxiety, depression, fatigue, and other mental illnesses in patients during a 2011 study.

Eliminate nausea​

Sugarless mint or ginger gums of all kinds can soothe an upset stomach, whether it’s morning sickness or motion sickness. Mint and ginger are natural remedies for nausea. If you’re looking for little ways to improve your health, try chewing a stick of gum rather than reaching for a dessert. You’ll thank yourself later.
 
mi huwa naona inaniondolea concentration kabisa hasa nikiwa nafanya kazi inayohusiana na kusoma kwa makini
 
Naweza kukubali hili kwa kuwa huwa nikiwa najihisi nina usingizi safarini hula Big G na mambo huwa poa.
 
Inaongeza misuli kuzalisha joto, damu kwenda kwenye ubongo.

ANGALIZO: Hizi za kibongo bongo zina sukari nyingi HAZIFAI
 
Nakubaliana nao kabisa. Nilikuja kugundua hili vizuri kipindi nipo A level, Calculations za Hesabu, Physics na Chemistry hasa organic chemistry ilikuwa pasua kichwa ila nilikuwa nikitumia Big G concentration inaongezeka na kufanya ubongo kufikiri vizuri na kwa mapana.

Mpaka leo kazi yoyote inayohitaji umakini wa muda mrefu lazima nitumie Big G huwa zinaniongezea confidence sana ya kutatua changamoto za kufikiri kwa muda mrefu na kwa umakini.
 
Zinaleta njaa sana,ni nzuri kula ukiwa umeshiba ili kukuweka sawa

Pia inaweka jawline kuwa na muonekano mzuri

Swali; kwa Tanzania brand ipi ya BiG G ni nzuri?hizi ambazo ukitoa sh 100 inapewa 4 hazifai hata kidogo
 
Zinaleta njaa sana,ni nzuri kula ukiwa umeshiba ili kukuweka sawa

Pia inaweka jawline kuwa na muonekano mzuri

Swali; kwa Tanzania brand ipi ya BiG G ni nzuri?hizi ambazo ukitoa sh 100 inapewa 4 hazifai hata kidogo
Hivi Batook ni za bongo?
 
Mbona Chris Mugalu,mchezaji mpuuzi wa Simba SC,hawi makini mbele ya lango?

Na linachonikera zaidi;likikosa goli linatabasamu tu na kuonyesha halijali kilichotokea,kisha linaendelea kutafuna jojo utafikiri mbuzi anatafuna michongoma.Shenzy zake!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom