Kusuluhisha ugomvi wa wanandoa..heri ukimbize upepo utaimarisha afya yako!

huyo mwanamke hana akili kabisa. hata kama wamepatana hakupaswa kuwakejeli waliomsaidia, siku nyingine mwacheni afie huko ndani.

^^
Labda alitaka kutufikishia ujumbe kuwa anapendwa?
DEMBA si unajua tena zenu wanawake kama sio kuvaliana kanga basi ndo mipasho ya East african melody au Mzee Yusuph !!
^^
 
Last edited by a moderator:
^^
Ni kweli, lakini kwa nini sehemu kubwa ya wanaosuluhishwa hugeuka tofauti?
Ablessed njoo usaidie hapa
^^[/QUOTE Himidini nashukuru kwa wito wako maana huko nilikokua nimetoka nduki ili kuwahi wito. Ni kweli mambo ya wanandoa usiingilie hata kama wanatoana ngeo wewe kaa mbali nao. Mmoja wao anaweza kukueleza mambo ya kutisha anayofanyiwa na mwenzi wake lkn kamwe usithubutu kutia lako lbd kama utaweza jitahidi kuwa positive na usisitize kuvumiliana . Usijifanye una huruma sana na unamasikitiko juu ya yanayomsibu ndugu huyo manake akitoka hapo wewe ndio utakua mbaya. Yaani ulivyoelezea ni mambo halisi yanayotokea kwenye jamii kila uchao.

Afadhali hawa wanaoleta hapa jf manake hatuwaoni/hatuwajui na wao hawatujui ndio maana inakua rahisi kuwashauri lkn ktk ushauri wetu ambao huwa tunawapa ni wachache sana wanaoufanyia kazi na hasa ukiwa ule, "oooh huyo achana nae hakufai".
 
Last edited by a moderator:
Kusuluhisha wapendanao ni kazi nzito isiyo na shukrani,mwisho wa siku unaonekana mbaya. Lakini kwa mazingira mengine ni vigumu kuvumilia kutoa msaada hapa inabidi tu kufata ule msemo "tenda wema nenda zako usingoje shukrani"
 
Back
Top Bottom