Kustaafu maana yake nini?


Rabin

Rabin

Senior Member
Joined
Mar 21, 2009
Messages
180
Likes
18
Points
35
Rabin

Rabin

Senior Member
Joined Mar 21, 2009
180 18 35
Ndugu zangu naomba minieleweshe hasa matumizi ya neno hili kustaafu katika siasa zetu hizi za kimasikini, kwa nini kiongozi anaye ondoka madarakani kwa kashfa kabla ya kumaliza muda wake anatambuliwa kama mstaafu? hakuna neno lingine linalofaa kutokana na namna alivyoachia madaraka? wanaposema waziri mkuu mstaafu mh. EL siwaelewi, nisaidieni, kwani tunamuogopa nani?
 
O

Omumura

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2009
Messages
476
Likes
3
Points
35
O

Omumura

JF-Expert Member
Joined Aug 20, 2009
476 3 35
Mstaafu lazima astaafu kwa heshima zote za utumishi wa umma ikiwemo nidhamu, uadilifu, utii na heshma. kwa kesi ya EL mie sidhani kama ana heshma ya kuitwa PM mstaafu kwa kweli, je amestaafu akiwa na hivyo vigezo vyote nilivovitaja hapo?Tafakari!
 

Forum statistics

Threads 1,250,869
Members 481,514
Posts 29,748,909