Kusoma uhasibu bila ufaulu math's

ommy clear

JF-Expert Member
May 26, 2018
214
57
Habar waungwana ivi kumbe kuna uwezekano wa mtu kusoma uhasibu bila ufaulu wa math's na akafanya vizuri kuliko waliofaulu math's, hii nimeandika baada ya mshikaji kupiga diploma ,degree then akaenda kupiga CPA na sasa yuko sehem anakula utawala kumbe pia inawezekana kua muhasibu mzurii bila kufaulu math's eti muhimu ujue kujumlisha kutoa kuzidisha na kugawanya

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hizo kujumlisha, kutoa, kuzidisha na kugawanya ndo maths yenyewe. Mengine nyongeza.
 
Kama kweli hujui hesabu hata basic zake kwenye uhasibu utapata tabu sana, utaishia kuwa msomi uliyekariri ili kupata cheti. Amani nakuambia asilimia 90 ya uhasibu ni namba na namba ndo hesabu, utakuaje mhasibu mzuri hujui hesabu?
 
Kwa nyongeza kwenye CPA kuna kitu kinaitwa Mathematical planning techniques, hyo ni hesabu
 
Back
Top Bottom