Kusoma si lazima maandishi hata picha pia.

Sky Eclat

JF-Expert Member
Oct 17, 2012
57,595
215,272
Juzi kati tulipata mwaliko wa harusi Mimi na yule shost wa kusukana nywele Huku kwetu Kwamtogole. Shost ni housegirl kwenye nyumba ya pedeshee, sasa mtoto wa boss wake anaolewa ndiopo Sky Eclat alipopata nafasi ya kuiona Double Tree Hilton

Baada ya kula na kunywa, kibofu kilikuwa kimeoverload. tulishauriana na shost kwenda chooni kwa zamu ili tulinde vinywaji vyetu.

Shost ametangulia maana hali yake ilikuwa mbaya , sasa ananiambia amefika kule ilibidi aangalie kwanza wanawake wanatokea ipande gani maana hili neno ladies and gentlemen kulikuwa msamiati
 
Baada ya kula na kunywa na hofu a kusemwa kibofu kilikuwa kimeoverload. Tulishaufiana na shots kwenda chini kwa zama ili tulinde vinywaji vyetu.

Shost ametangulia maana hali yake ukiwa mbaya , sasa ananiambia amefika kule ilibidi aangalie kwanza wanawake wanatokea ipande gani maana hili neno ladies and gentlemen kulikuwa msamiati
IMG_2v240r.jpg

Pombe si nzuri,licha ya kiimani hata kiafya hasa kwa MWANAMKE
_20170725_203332.JPG

May Allah bless Me and You
 
Juzi kati tulipata mwaliko wa harusi Mimi na yule shost wa kusukana nywele Huku kwetu Kwamtogole. Shost ni housegirl kwenye nyumba ya pedeshee, sasa mtoto wa boss wake anaolewa ndiopo Sky Eclat alipopata nafasi ya kuiona Double Tree Hilton

Baada ya kula na kunywa, kibofu kilikuwa kimeoverload. tulishauriana na shost kwenda chooni kwa zamu ili tulinde vinywaji vyetu.

Shost ametangulia maana hali yake ilikuwa mbaya , sasa ananiambia amefika kule ilibidi aangalie kwanza wanawake wanatokea ipande gani maana hili neno ladies and gentlemen kulikuwa msamiati
kweli wa kwa mtogole wewe
 
Mwanamke kukosea choo na kuingia cha kiume hakuna ubaya sana...

Ubaya ni pale mwanaume anapokosea choo na kuingia cha kike...

Double Tree reminds me of those days...

Cc: mahondaw

Cc: mahondaw
 
Back
Top Bottom