Kusoma QT kwa mtu aliyeishia la saba ni sawa?

JAMAL AJMY

New Member
Aug 18, 2018
2
1
Habar wadau, mimi ni kijana wa miaka 21, nilifaulu darasa LA 7 ila sikuweza kuendelea mbele na secondary ila nilisikia kuwa kuwa Kuna QT, je QT inawezanifaa? Na pia nimeskia Kuna QT form 5 na 6 je ni kweli??
 
Kwanini isikufae wakati kuna wengine hawakumaliza hata darasa la saba na wamesoma na kufanya vizuri? Hiyo ya form 5 na 6 sina uhakika, nadhani ipo maana nimeshawahi kukutana na watahiniwa huru wa form 6 (private canditate), nadhani ni QT...
 
Habar wadau, mimi ni kijana wa miaka 21, nilifaulu darasa LA 7 ila sikuweza kuendelea mbele na secondary ila nilisikia kuwa kuwa Kuna QT, je QT inawezanifaa? Na pia nimeskia Kuna QT form 5 na 6 je ni kweli??
Unaweza sana tena sana ni kudhamiria kwako. Kuna watu wengi QT route imewatoa wengine wana hadi PhD zao wanakula maisha. Wenyewe wanasema "hakuna kuchelewa ukikumbuka umewahi"
 
Mm nilikuwa nauliza je elimu za qt yan qualify tecnology zinaweza kukufikisha chuo kikuu na kuweza kutimiza ndoto zako??
 
Sio Qualifying Technology Bali ni Qualifying Test, ili uweze kufanya mtihani wa Kidato cha nne ni either uwe umefanya mtihani wa form two au uwe umefaulu hyo Qualifying Test.
 
Na hiz qualify test si ndo kama hiz watu wanasoma form 1&2 kwa mwaka mmoja au sizo??
 
Ok lakin mimi nimefika form 4 lakin nilipata ufaulu wa matokeo mabov si inawezekana kwenda kuanza 3&4 kwa mwaka mmoj??
 
Hapo labda uwe resitter otherwise utumie miaka miwili mmoja kusoma QT1 mwengine kusoma 3 & 4 ambao ndio utapiga na pepa la Necta form 4
 
Back
Top Bottom