Mh ni Chuo gani hiki? Maana kama ulisoma kwa Coursework ni wazi kuwa ili Proposal yako iwe tayari kupresentiwa katika ngazi mbalimbali ni lazima comments za Supervisor wako zihusike...........Ila kama ni kwa Thesis pia proposal hupitia hatua ambazo comments za supervisor wako zinabeba uzito na kwa habari ya External lazima grades ziwe mbili za Internal na za External.............Thesis/Dissertation haiwezipelekwa kwa External au haiwezikupewa grade ya mwisho bila kuwepo ile ya Internal Supervisor (Huyo unayesema ni wa kutia muhuri tu).......... Mkuu share with us umefanyaje ili nasi tumalize zetu aisee......We endelea kudemka tu humu. Nimekuambia supervisor nilipoona Hana msaada nikajisomea mwenyewe na wakati mwingine marafiki walinisaidia kuisoma kazi ilipokamilika ndo nikampelekea asaini. Nitapita hv. Anayesahihisha Dissertation Ni External Examiner.