Umepiga chuo gani?Chuo gani hicho ambacho supervisor anakuja ku sign, chuo nilichosoma lazima ipitie kwa wasomaji wawili na iende kwenye panelists ya department au taasisi u defend mbele ya zaidi ya kumi na ushee hivi.
Sasa ma prof wengi huwa wako busy na mambo ya department unakuwa umeandika vizuri yeye hana mda wa kusoma na hata yeye aki sign kaxi inaenda kusahishwa na watu tofauti kuanzia internal na external examiners loh.
Sasa hcho chuo chako mhhh