Von Bismarck
JF-Expert Member
- Jul 11, 2018
- 3,073
- 6,251
Pia wapo std 7 hawana mwelekeo maisha yamewapiga.You seem so desperate kuukwepa ukweli. TZ watu wengi hukimbilia kusoma kwa sababu it is the only way to succeed, waajiriwe wapate mishahara in short ni wavivu wa kujishughulisha=waoga.
unasoma unakuwa phd holder unakutana na std seven mwenye analytic minds kuliko wewe na maisha ameyapiga. Unapostaafu ndipo unamwendea kujifunza namna ya kuhusstle...pathetic
Kufanikiwa ni vile Mungu amepanga ndugu
Unaweza kupambana sana kitaa na bado hutoboi.
Kama ndivyo tungekuwa na maisha ya kiwango kinachofanana lakini sio kweli.