Tangantika
JF-Expert Member
- Aug 12, 2018
- 4,941
- 6,190
Usiandike kitabu kwa ajili ta watanzania andika kwa ajili ta watu dunia mzima kitabu kitafsiriwe kila kona.unapofanya kitu ambacho unataka kikuingizie maslahi angalia na jamii ya watu inayokuzunguka inahitaji au kupendelea nini?
Jamii kubwa ya watanzania na waafrica ni wavivu wa kusoma vitabu na kutembelea libraries sio kama wazungu.
Hapa bongo anayeandika vitabu hata kama ni profesa, na darasa la pili anaeimba mziki. Anaefanya mziki au kuigiza filamu kazi zake zitafuatiliwa na watu wengi zaidi ya profesa anaeandika vitabu. Mfano; mzuri ni kule youtube.
Mwisho wa siku anayepata faida zaidi ya mwingine ni muimba mziki.
Mbona maktaba zetu hasa za vyuo vya elimu vimejaa vitabu vilivyoandikwa na wakenya na wanaijeria hata sisi tunaweza kuuza vitabu kwao.
Nikuulize swali,
Je kuna proffesa ana website yake ipo active na academics
Je kuna proffesa anafundisha kwa kutumia multimedia na app za kusasa dunuani.
Hapi juu nimekwambia proff Liang anainguza pesa kwa website access code.
Kuna mahala tuna kwama.