Kusoma kisha kukosa ajira ni kupoteza muda?

bigmukolo

JF-Expert Member
Mar 6, 2012
597
2,225
Nimekaa chini nikajiuliza sana hivi ukisoma halafu ukokosa kazi je utakua umepoteza muda wako? Maana kama umetutumia miaka zaidi ya mitano kusoma tena kwa presha za walimu na malecturer halafu hamna chochote unachokipata kupitia hayo mavyeti, then unakuja kuwa machinga, thamani ya elimu yako itakua ipo wapi?
 
Kusoma kunakuwezesha kupambanua mambo na kupata uelewa unaoweza kukusaidia kuishi bila kutegemea kuajiliwa
 
You never knew value of something until you loose it 🚶‍♂️ 🚶‍♂️
 
Kwanini usijiajiri mwenyewe mkuu, tumia elimu yako kujiajiri. Kushindwa kujiajiri kupitia elimu yako unapaswa kujilaumu na kujiita kwamba bado hujaelimika na elimu uliyosoma, na vyeti tu. Ni hayo tu mkuu.
 
Nimekaa chini nikajiuliza sana hivi ukisoma halafu ukokosa kazi je utakua umepoteza muda wako? Maana kama umetutumia miaka zaidi ya mitano kusoma tena kwa presha za walimu na malecturer halafu hamna chochote unachokipata kupitia hayo mavyeti, then unakuja kuwa machinga, thamani ya elimu yako itakua ipo wapi?
Hapana.

Unaweza ukasoma usipate ajira ila ukajiajiri.
 
Back
Top Bottom