Nimekaa chini nikajiuliza sana hivi ukisoma halafu ukokosa kazi je utakua umepoteza muda wako? Maana kama umetutumia miaka zaidi ya mitano kusoma tena kwa presha za walimu na malecturer halafu hamna chochote unachokipata kupitia hayo mavyeti, then unakuja kuwa machinga, thamani ya elimu yako itakua ipo wapi?