waoooooooo Mphamvu, itakuwa nzuri sana hiyo
Tunashukuru mphauvu kwani hata mimi nimekuwa mpenzi mzuri sana wa hizi stori za kiswahili kama wata weza kutuwekea kwenye tovuti nitafurahi sana thanks a lot
I was wondering if there were sites (like Fictionpress.net for example) where i can find stories, but in swahili. Do you know any? I'm looking for a good swahili novel/story to read, but i haven't found any until now...
Ngumu sana mamii... Vitabu vingi vya fasihi ya Kiswahili viko maktaba zetu katika mfumo wa hardcopy.... Niko intouch na TUKI, nitashauri kitu kama hicho kwenye kongamano lijalo. Ila kwa sasa tuendelee kutumia njia zilizopo, mfano, unaweza kuwa mwanachama wa TLS, ukipata muda utembelee maktaba zao Tanganyika nzima ujisomee vitabu.
Good one mzee. Hongera kwa kuanzisha mwendo...Soma vitabu bila kikomo ndani siku 30 kwa tshs 3000. Storika