October man
JF-Expert Member
- Nov 23, 2017
- 3,635
- 4,997
Kama dhumuni kufaidika kiuchumi Kusoma Tanzania ni kupoteza muda tu ukisoma hadi form 4 kuzidisha zaidi ya hapo ni kupoteza muda tu unamaliza muda bure tu kwa miaka 6 hadi kupata degree akifika mtaani huna connection ya maana inakuchukua miaka hata mitano (5) kutafuta Kazi, Connection, kuombaomba kazi, mi-interview, kusafirisafiri kufata interview, kujishikizashikiza mpaka unakuja kupata kazi yakuaminika inakuchukua miaka 5 inakuwa sawa miaka 11 umepoteza.
Hiyo miaka 11 Uki hustle unaweza kujenga uchumi zaidi ya uwo utaopata miaka yote ile uliyotaabika kusagala muda huwo wa miaka 11 unakuza biashara itayofikia hadi 10M kwa mwezi.
Kusoma kufaidika kiuchumi ni ujinga tu utapata ajira ila ukilinganisha na muda ni sawa na bure.
Elimu (Formal) inakupa uwezo wa kupambanua mambo uwezi linganisha na asiyesoma ila uwo uwezo bado unaweza pata kwa kusoma vitabu mbalimbali tu tena huko ndio utafaidika zaidi Biashara utawasoma wakina kiyosaki nk ila sio kupoteza muaka 11.
NB: katika goal la kufaidika kiuchumi elimu imetupotezea muda hapa duniani miaka 11 kwaajili ya kupata mshahara wa 800K kwa mwezi nawakati iyo miaka imeyengeneza mikampuni mikubwa inayoingiza Billion za pesa.
Sent using Jamii Forums mobile app