Kusoma blocked sms

digodigo

JF-Expert Member
Dec 2, 2010
254
176
Naombeni msaada wa kujua App gani inayoweza kunisaidia kusoma messages ambazo aidha namba niliblock kwa bahati mbaya.
 
Kama mtu huwezi kumuacha basi amua tu kuwa nae, sio unambock mtu huku unambip, mara ooh nimekosea namba.

Tatizo wengi mnapenda kuzifurahisha nafsi za wengine mkiziacha zenu zikitaabika.

Utakuta mtu anaogopa kufanya maamuzi kwa kuwaogopa watu wasimcheke.
 
Naombeni msaada wa kujua App gani inayoweza kunisaidia kusoma messages ambazo aidha namba niliblock kwa bahati mbaya.
Kwenye simu za windows ndio unaweza kublock namba na bado ukazisoma sms zake. Kwenye android hakuna .....
 
huyo demu bora umpotezee tu mkuu
mtu umemblock halaf bado unataka usome sms zake ili ufanyeje sasa?
 
Back
Top Bottom