Kwenye simu za windows ndio unaweza kublock namba na bado ukazisoma sms zake. Kwenye android hakuna .....Naombeni msaada wa kujua App gani inayoweza kunisaidia kusoma messages ambazo aidha namba niliblock kwa bahati mbaya.
Kwani mchepuko hajui una mke hadi amind kujibiwa sms?Huyu atakuwa anamblock mchepuko wake akiwa na mkewe. Shughuli inakuja kwa nini hujibu sms zangu.
Kwa vyovyote vile huyo mtu anayetaka kujua aliandika nini alivyokuwa amemblock sio permanently blocked. Anablockiwa kwa vipindi flani. Jiulize sababu ni nini?Kwani mchepuko hajui una mke hadi amind kujibiwa sms?