.......kusmile bila kupenda....... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

.......kusmile bila kupenda.......

Discussion in 'JF Doctor' started by cheusimangala, Aug 2, 2010.

 1. cheusimangala

  cheusimangala JF-Expert Member

  #1
  Aug 2, 2010
  Joined: Feb 27, 2010
  Messages: 2,590
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Wapendwa nina shosti wangu ana tatizo sijui ni la kisaikolojia au ni vipi mie sielewi lkn ni kwamba huyu dada ana tatizo la kusmile bila hiyari yake.

  Jambo hili linamkera sana maana sometimes anaweza kuwa anaelezwa jambo serious mf. Msiba lkn yeye akawa anasmile hali inayomfanya watu wamshangae.

  Sometimes anatamani kuwa na uso wa userious kwa wafanyakazi wake lkn akajikuta mf. Anamgombeza mtu huku anasmile.

  Sometimes wanaume wamekuwa wakidhani ana flirt nao kwa jinsi anavyotabasamu tabasamu.

  ............kwa mwenye ufumbuzi wa hili tafadhali tusaidiane...............


  Lav u all.
   
 2. B

  Babuyao JF-Expert Member

  #2
  Aug 2, 2010
  Joined: Jun 6, 2009
  Messages: 1,734
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 145
  Ndo yuko hivo, basi. Inabidi watu anaokaa nao au kufanyakazi nao wamfahamu. Si kwamba kila anayetabasamu anakuwa kafurahi, au anayelia anakuwa kapatwa na msiba au uchungu. yaweza kuwa kinyume chake. Watu wa namna hii yafaa kuwafahamu kwa kuingia ndani zaidi ya kile kinachoonekana kwa macho: kujua tabia yake gestures zake. Nakumbuka nilipokuwa mwanafunzi wa sekondari, mwalimu wangu mmoja alipokuwa na furaha alikuwa serious kweli. Alipokuwa akikasirika alikuwa anatabasamu (kama huyo dada) - anaonesha uso wa 'furaha'. Tukamjua kwamba akitabasamu ujue hali ni mbaya: kaa chonjo!
   
 3. cheusimangala

  cheusimangala JF-Expert Member

  #3
  Aug 2, 2010
  Joined: Feb 27, 2010
  Messages: 2,590
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  du kweli kuishi kuona mengi,lkn bado naamini kuna ufumbuzi bwana mtu hawezi tu kuwa anasmile bila hiyari yake babuyao.
   
 4. NGULI

  NGULI JF-Expert Member

  #4
  Aug 3, 2010
  Joined: Mar 31, 2008
  Messages: 4,812
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 135
  Tafdhali mkutanishe na Asprin waangalie namna ya kutatua hilo tatizo. Na yeye anatafuta suluhisho. Ila ni kitu kizuri ataishi maisha marefu. Mimi natafuta dawa ya ku smile.
   
Loading...