Kusitishwa mnada wa mitambo mgodi wa Buzwagi: Serikali imepanic?

Jidu La Mabambasi

JF-Expert Member
Oct 20, 2014
15,171
23,867
Kwa kuanzia, wengi wetu wafuatiliaji masuala ya uchumi, tulisituka kuona kwenye luninga na vyombo vingine vya habari juu ya mnada wa mitambo ya uzalishaji mgodini Buzwagi.

Tulisituka kwani maana yake ni uzalishaji kusimama, wananchi kukosa kazi, mapato ya aina yoyote yaliyokuwepo kupotea kabisa.
Kwa maana ya maendeleo hii ni hataua mbili nyuma.

Tunajua kuna mgogoro kati ya Serikali na wanaoendesha mgodi huo kwa muda sasa, lakini hii ndo dalili ya wazi kuwa hakuna muafaka.
Tunajua kuwa kutokana na biashara ya mgodi huo, kuna kodi na madeni mengi yanayoikabili kampuni mama ya Buzwagi ambayo inaitwa Barrick.
Buzwagi (Barrick) wamebwaga manyanga, wanaondoka.

Sasa cha kushangaza, leo gazetini Mwananchi pg 5.
"Katibu Mkuu wa Wizara ya Madini, Profesa Simon Msanjila alisema Buzwagi walitoa tangazo la mnada bila kuwasiliana na Serikali, jambo ambalo ni kinyume na taratibu.
"Tofauti na sekta nyingine, Profesa Msanjila alibainisha utaratibu wa kufunga mgodi wowote nchini kwamba lazima waendeshaji watoe taarifa Serikalini kwa kueleza sababu za kufanya hivyo".

Hapo ndo ninapo changanyikiwa.
Serikali haijui kwa nini mgodi unafungwa!!!

Na habari zilizopo(Mwananchi) ni kwamba watu toka Dubai,Congo DRC, Oman wamejitokeza kununua hivyo vifaa.

Ushauri wangu tu, sekta ya madini ni very sensitive kwa vile ina heavy investments. Tusieendeshe kwa Trial an Error.
 
Tulijifanya wajanja sasa tumepata mjanjuzi
 
Hapo ndio tutakapo wajua wazungu vzr,
Hawa watu wametutawala,kipindi cha ukoroni,sio busara kujifanya tunaringana nao,ki maarifa,kwa vile tu,tunaweza kuongea English kama wao,tunaitaji strategies Kali zaidi,
Sasa nasikia wamemtuma negotiator mwingine,unajua CV yake ?ni soldier,special service SAS,amehudumu Iraq,afighanstan,ana shahada ya uzamili ya mambo ya security,sasa nyinyi hata mkulu wenu,richa ya kuwa na PHD,English inampa shida,

Sasa mtaweza kushindana na hivi vidume,watu wwnatengeneza airbus,sisi hata wembe hatuna,

Wametuibia sawa,lakini katika kudai chetu,twende kwa busara,lets be honest wakigoma kulipa tutafanyaje?tutaanzisha vita nao?,let us be careful,Jana tumeambiwa,vijana wetu waliouliwa kule Congo,sababu mojawapo ni kwamba Walikuwa na mafunzo duni,
 
Kwa kuanzia, wengi wetu wafuatiliaji masuala ya uchumi, tulisituka kuona kwenye luninga na vyombo vingine vya habari juu ya mnada wa mitambo ya uzalishaji mgodini Buzwagi.

Tulisituka kwani maana yake ni uzalishaji kusimama, wananchi kukosa kazi, mapato ya aina yoyote yaliyokuwepo kupotea kabisa.
Kwa maana ya maendeleo hii ni hataua mbili nyuma.

Tunajua kuna mgogoro kati ya Serikali na wanaoendesha mgodi huo kwa muda sasa, lakini hii ndo dalili ya wazi kuwa hakuna muafaka.
Tunajua kuwa kutokana na biashara ya mgodi huo, kuna kodi na madeni mengi yanayoikabili kampuni mama ya Buzwagi ambayo inaitwa Barrick.
Buzwagi (Barrick) wamebwaga manyanga, wanaondoka.

Sasa cha kushangaza, leo gazetini Mwananchi pg 5.
"Katibu Mkuu wa Wizara ya Madini, Profesa Simon Msanjila alisema Buzwagi walitoa tangazo la mnada bila kuwasiliana na Serikali, jambo ambalo ni kinyume na taratibu.
"Tofauti na sekta nyingine, Profesa Msanjila alibainisha utaratibu wa kufunga mgodi wowote nchini kwamba lazima waendeshaji watoe taarifa Serikalini kwa kueleza sababu za kufanya hivyo".

Hapo ndo ninapo changanyikiwa.
Serikali haijui kwa nini mgodi unafungwa!!!

Na habari zilizopo(Mwananchi) ni kwamba watu toka Dubai,Congo DRC, Oman wamejitokeza kununua hivyo vifaa.

Ushauri wangu tu, sekta ya madini ni very sensitive kwa vile ina heavy investments. Tusieendeshe kwa Trial an Error.
Nyie Wakolomije mtakoma kukurupuka
 
Hata kama serikali inazuia mnada wa equipments si kwamba itawafanya Barrick warudi kwenye production. Suala la msingi ni kuweka mazingira ambayo uzajishaji utaendelea wakati matatizoyaliopo yakipatiwa uvumbuzi
 
Raha sana hii nchi!

Kwa wafuatiliaji wa sekta ya madini walishafahamu suala la kukaribia kufungwa Buzwagi hata kabla ya Sakata la Makinikia!

Na baadhi ya wafanyakazi wa Buzwagi wamesharudi home for at least 2 months now!

Na hata Bulyanhulu inafahamika imebaki miaka michache tu kufungwa!

Sasa ikiwa mimi kijana wa Tandika nisiye kwenye mfumo rasmi nayafahamu yote haya; how come watu wa serikalini wasifahamu?!
 
Raha sana hii nchi!

Kwa wafuatiliaji wa sekta ya madini walishafahamu suala la kukaribia kufungwa Buzwagi hata kabla ya Sakata la Makinikia!

Na baadhi ya wafanyakazi wa Buzwagi wamesharudi home for at least 2 months now!

Na hata Bulyanhulu inafahamika imebaki miaka michache tu!

Sasa ikiwa mimi kijana wa Tandika nisiye kwenye mfumo rasmi nayafahamu yote haya; how come watu wa serikalini wasifahamu?!
Zitto alishasema " nchi tumekabidhi kwa washamba na malimbukeni"...
 
Kwa kuanzia, wengi wetu wafuatiliaji masuala ya uchumi, tulisituka kuona kwenye luninga na vyombo vingine vya habari juu ya mnada wa mitambo ya uzalishaji mgodini Buzwagi.

Tulisituka kwani maana yake ni uzalishaji kusimama, wananchi kukosa kazi, mapato ya aina yoyote yaliyokuwepo kupotea kabisa.
Kwa maana ya maendeleo hii ni hataua mbili nyuma.

Tunajua kuna mgogoro kati ya Serikali na wanaoendesha mgodi huo kwa muda sasa, lakini hii ndo dalili ya wazi kuwa hakuna muafaka.
Tunajua kuwa kutokana na biashara ya mgodi huo, kuna kodi na madeni mengi yanayoikabili kampuni mama ya Buzwagi ambayo inaitwa Barrick.
Buzwagi (Barrick) wamebwaga manyanga, wanaondoka.

Sasa cha kushangaza, leo gazetini Mwananchi pg 5.
"Katibu Mkuu wa Wizara ya Madini, Profesa Simon Msanjila alisema Buzwagi walitoa tangazo la mnada bila kuwasiliana na Serikali, jambo ambalo ni kinyume na taratibu.
"Tofauti na sekta nyingine, Profesa Msanjila alibainisha utaratibu wa kufunga mgodi wowote nchini kwamba lazima waendeshaji watoe taarifa Serikalini kwa kueleza sababu za kufanya hivyo".

Hapo ndo ninapo changanyikiwa.
Serikali haijui kwa nini mgodi unafungwa!!!

Na habari zilizopo(Mwananchi) ni kwamba watu toka Dubai,Congo DRC, Oman wamejitokeza kununua hivyo vifaa.

Ushauri wangu tu, sekta ya madini ni very sensitive kwa vile ina heavy investments. Tusieendeshe kwa Trial an Error.
Wamepaniki!!! Serikali imesema hawajafuata taratibu. Ni kipi kimekufanya ushindwe kuelewa?
 
Huu muziki tuliutaka wenyewe sasa acha tuucheze kila mmoja kwa nafasi yake taratibu taratibu tena kwa madoido bila ya kusukumana.
 
22 Reactions
Reply
Back
Top Bottom