Kusimikwa Kwa Baba Askofu Conrad Nguvumali Wa Jimbo La Rukwa

Mwatee

Member
Jul 24, 2013
35
95
Habari Wana Jamvi Leo Ktk Kanisa La Moravian Ushirika Wa Sumbawanga Mjini Kuna Tukio Linaendelea La Mbaraka Wa Askofu Wa Jimbo La Rukwa Kuna Wagen Mbalimbali Akiwepo Waziri Mkuu Mh Mizengo Kayanza Peter Pinda Ndio Mgeni Rasimi Wa Sherehe Hii Uwanja Wa Nelson Mandela Nawasilisha 2tajuzana Kinachoendelea
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom