Kusimamia ukucha..

Majighu2015

JF-Expert Member
Jul 11, 2015
2,924
3,904
Hii story ipo sana mtaani. Utasikia mtu anajisifia nimepiga shoo mpaka nimesimamia ukucha. Jaman hivi unaweza kusimamia kucha wakati wa game. Mliowahi hembu tupeni experience.
 
Maana yake amemkojoza vya kutosha mpaka mdada akachanganyikiwa. Unamkojoza mwanamke kiasi kwamba anakojoa mara nyingi kiasi ambacho hajawahi fika tangu amjue mwanaume. Ukisimamia ukucha utasumbuliwa saana. Mtu atakuwa radhi amuache.mpenz /mume wake aje kwako.
simamia ukucha kwa mpenz wako au mke wako tuu ukisimamia na kwa wengine wataishia kukuvunjia ndoa maana watakusumbua mpaka keroo
 
IT MEANS THAT HE GOT MORE ORGASIM TO HER

Wakuu shukran kwa hii shule..Kumbe ni kumridhisha mwanamke tu. Basi itabidi wanaume tusimamie kucha,na vidume vingi vinasimamia kucha kwa michepuko kuliko wenza wao.
 
MCHEPUKO UKIWA UNA HAMU HAUNA LONGO LONGO ILA MKEO MARA LEO SIJISIKII AU ATADAI ANAUMWA TUMBO
Huwa wana sababu lukuki..Eti mpaka wao wajisikie ndo mnafanya mambo. Ndo mana watu wanapiga shoo za maana kwa michepuko.
 
Wengine ni maneno tu ili kutafuta "kick" aonekane kwamba anaweza saaana. Kumbe ukimpeleka kwe shoo yenyewe nusu dk wazungu hawa hapa. Na mivyakula hii vijana wanashindia hapa mjini siku hizi ndo shida tu. Acha wadada wenyewe wasifie kuwa ama kwa kweli jamaaa ni mjuvi sana
 
Hao wapo wengi..Utasikia leo nimemkomesha,kumbe kapiga cha kuku kamuacha mtoto wa watu na mihamu kibao
 
Hili lipo sana mtaani sema nikawa najiuliza tu linamaanisha kitu gani?? Ila uswazi ndo oenyewe kwa kuibuka misemo kila leo
Na hasa maneno yanayohusu hako kamchezo ka wakubwa, kila siku msamiati mpya.

Bora hata hapa JF msamiati wetu wa kugegeda ni mmoja tu, haubadilikagi.
 
Na hasa maneno yanayohusu hako kamchezo ka wakubwa, kila siku msamiati mpya.

Bora hata hapa JF msamiati wetu wa kugegeda ni mmoja tu, haubadilikagi.
Kanapendwa na wengi ndo mana watu wana interest kubwa..
 
Teh..Watoto wa kuja wanateguka vidole na kung'oa kucha kwa maneno yenu hayo..Wengine wanayabeba kama yalivyo
 
Back
Top Bottom