Kusimamia Mwendokasi tumeshindwa, Je tutaweza kusimamia Treni ya umeme ? Rais Magufuli ingilia kati mwendokasi inatesa wananchi

FRESHMAN

JF-Expert Member
Sep 29, 2011
8,822
33,518
Habari wadau.

Huduma za mwendo kasi ni mbovu sana. Ma - bus machache , yanajaza watu sana, tiketi utaratibu mbovu..

Hakuna kadi tena, kwanza tiketi zinachanwa na mkono ndio kipimo cha verifications.

Nawaza tu kama mradi mdogo kama mwendo kasi tunashindwa kuusimamia, je tutaweza simamia treni ya umeme SGR?
 
Sio kwamba wameshindwa.. Ila ni mianya ya watu kupiga hela, watu wameshatajirika na huo mradi!
 
Habari wadau.

Huduma za mwendo kasi ni mbovu sana. Ma - bus machache , yanajaza watu sana, tiketi utaratibu mbovu..

Hakuna kadi tena, kwanza tiketi zinachanwa na mkono ndio kipimo cha verifications.

Nawaza tu kama mradi mdogo kama mwendo kasi tunashindwa kuusimamia, je tutaweza simamia treni ya umeme SGR?

Naona kila dalili za kuihujumu kabla haijaanza kufanya kazi, watanzania tuna roho mbaya ya kishetani, tunapenda kuhujumu mambo mazuri ili kujinufaisha.

Kama wazo la Kassim Majaliwa PM lingefanyiwa kazi nadhani tungeondokana na karaha ya hiyo huduma, alisema zitafutwe kampuni shindani ziingize magari barabarani, wahusika wakasema wanakwenda mahakamani kupinga, wao wanafikiria faida zaidi na siyo ubora wa huduma
 
We toward
FB_IMG_1571843679865.jpeg
 
Hilo train la umeme tukifanya uzembe litauwa watu....
Habari wadau.

Huduma za mwendo kasi ni mbovu sana. Ma - bus machache , yanajaza watu sana, tiketi utaratibu mbovu..

Hakuna kadi tena, kwanza tiketi zinachanwa na mkono ndio kipimo cha verifications.

Nawaza tu kama mradi mdogo kama mwendo kasi tunashindwa kuusimamia, je tutaweza simamia treni ya umeme SGR?
hiyo SGR siku umeme ukikatika.... ha ha ha
 
Anapopita na kujigamba kuwa yeye hashauriki si huwa mnampigia makofi kuwa ni safi?! Acha afanye atakavyo hakuna namna.
 
Kila homa si malaria
Usichukulie poa nyumba ni choo
Rudi nyumbani kumenoga

Tukisha malizana na kauli hapo juu
Ndio tunastahili kutibu tatizo la akili zetu
 
Umeme ukikatika siyo shida, lazima hiyo treni ya mwendokasi ina back up ya umeme, labda na option ya kutumia dizeli
 
Back
Top Bottom