Kusimama ujenzi kwa baadhi ya majengo

FORCE NAMBA

JF-Expert Member
Aug 19, 2014
937
327
Wadau tujadili hili. Katika pitapita zangu katika mikoa kama mitatu ya Mwanza, Arusha na Moshi nimebaini baadhi ya majengo kusimama ujenzi kwa kasi sana. Hapo awali yalikuwa yanakwenda kwa kasi sana hasa mahoteli.Nimejaribu kubaini chanzo cha tatizo nimechemka.
 
Waliipenda wenyewe nti nti wanaipata wenyewe nti nti...wachaaa waisome namba eeh!
 
Dah... nikisikia hivi napatwa na faraja kubwa moyoni. Mungu ibariki Tanzania, Mungu mbariki JPM
 
Wewe unazungumzia magorofa huku dar nyumba za kuishi zimesimama wengine wameishia kwenye msingi na wengine kwenye linta hali ni tete dar kuliko mikoani
 
Back
Top Bottom