njaa IPI iyo?sioni swali hapa
siku utakuja kuuliza ni kwanini unahisi njaa
Je waufahamu huu usemi .... "mficha uchi hazai?" ..... kama nngekuwa nina hilo tatizo ulosema je kukaa kwangu kimya kungenisaidia nini?Na isingekuwa inasimama ungekuja kusema?
GoodJe waufahamu huu usemi .... "mficha uchi hazai?" ..... kama nngekuwa nina hilo tatizo ulosema je kukaa kwangu kimya kungenisaidia nini?
Kwa nini nisiwashirikishe pia wataalamu ili nipate ufumbuzi/ suluhisho ama tiba?
Katika jamii tuishimo masuala mengi huzungumzwa lakini pasi na kuwepo ushahidi wa kitaalamu ....Una miaka mingapi? Sababu naamini mwanaume mwenye umri kuanzia miaka 18 anajua sababu za uume kusimama asubuhi.
ya msosi mkuu....itakua ndo mara yake ya kwanza kusimamisha asubuhinjaa IPI iyo?
tokea nianze kujielewa kila siku asubuhi nasimamishaKwako huoni swali may be you haven't experience that .... but 2 me the question was more important since the issue concerns my body