Kusimama Kwa Uume Kila Niamkapo:

Hebu njoo huku Pemba nikupe ilimu sahihi UA suala lako,pia itakuwa mwalimu Kwa wenzako
Kwa nini nije Pemba? .... nimetumia jukwaa huru JF kutafuta maoni na ushaur katika hili ..... itakuwa vyema nawe pia ukitumia jukwaa hili
 
Iwekee barafu haileta ubishi tena
Kupata ufahamu wa KISABABISHI na ambalo ndo kusudio la bandiko langu ni jambo jema zaidi .... ndipo mambo mengine hufuata ....

by the way hiyo kutokuleta ubishi tena wamaanisha nini?
 
Na isingekuwa inasimama ungekuja kusema?
Je waufahamu huu usemi .... "mficha uchi hazai?" ..... kama nngekuwa nina hilo tatizo ulosema je kukaa kwangu kimya kungenisaidia nini?
Kwa nini nisiwashirikishe pia wataalamu ili nipate ufumbuzi/ suluhisho ama tiba?
 
Good
 
Hiyo ni kawaida ya mwili, physiological. Ni kutokana mida hiyo ya alfajiri homoni za kiume huongezeka kiwango chake katika mwili na kupelekea kusababisha uume kusimama. Ni kwa wanaume wote hii, awe mtoto au mzee busy bees
 
Una miaka mingapi? Sababu naamini mwanaume mwenye umri kuanzia miaka 18 anajua sababu za uume kusimama asubuhi.
 
sioni swali hapa
siku utakuja kuuliza ni kwanini unahisi njaa
Kwako huoni swali may be you haven't experience that .... but 2 me the question was more important since the issue concerns my body
 
Una miaka mingapi? Sababu naamini mwanaume mwenye umri kuanzia miaka 18 anajua sababu za uume kusimama asubuhi.
Katika jamii tuishimo masuala mengi huzungumzwa lakini pasi na kuwepo ushahidi wa kitaalamu ....

Pana kosa gani kwangu mie kutafuta UKWELI wa hili suala based on "physiological, biological or psychological facts?" toka kwa wataalamu tulonao humu?
 
Hiyo ni kawaida ya mwili, physiological. Ni kutokana mida hiyo ya alfajiri homoni za kiume huongezeka kiwango chake katika mwili na kupelekea kusababisha uume kusimama. Ni kwa wanaume wote hii, awe mtoto au mzee busy bees
Naendelea kuhabarika .... thanks
 
Kwako huoni swali may be you haven't experience that .... but 2 me the question was more important since the issue concerns my body
tokea nianze kujielewa kila siku asubuhi nasimamisha
angeuliza mtoto wa darasa la kwanza ningeona kawaida lakini kwa mkubwa kama wewe KUNA NAMNA hapo
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom