Musoma Yetu
JF-Expert Member
- Mar 11, 2016
- 2,633
- 2,297
Naomba kujua wadau hivi hawa makatibu wakuu na manaibu katibu wakuu walioahidiwa kupangiwa kazi zingine, je mishahara yao bado ni ile ile ya kazi zao au ilisha shushwa? Pili, je wanaripoti kazini kama kawaida au bado wanasubiri kupangiwa kazi.