Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
MmmmmhAcheni kumzonga madam Flora
Baada ya kuingia katika ndoa yake ya pili pamoja na kuzindua albamu mpya Flora kapotea kabisa. Au ni laana ya Mtumishi Wa Mungu Mme wake Wa kwanza bwana Mbasha?
Madam za sikuAcheni kumzonga madam Flora
Uasherati wake mwenyewe ndio uliompunguzia umaarufu.Baada ya kuingia katika ndoa yake ya pili pamoja na kuzindua albamu mpya Flora kapotea kabisa. Au ni laana ya Mtumishi Wa Mungu Mme wake Wa kwanza bwana Mbasha?
Mwacheni madame a enjoy honey moon.Uasherati wake mwenyewe ndio uliompunguzia umaarufu.
Yuko fungate anakula maraha...Mmmmmh
Nzuri tu sijui weweMadam za siku
Sababu hasa ni makinikia ya ile ndoa ya kwanza kutochenjuliwa.
Me mzima, nilikumisi tu princes wa TrumpNzuri tu sijui wewe
Hehehe...nilikumisi piaMe mzima, nilikumisi tu princes wa Trump
Ahsant mwayaaHehehe...nilikumisi pia