kushuka kwa umaarufu wa Flora Mbasha (zamani), ni laana ya Mme wa kwanza?

Mtarban

JF-Expert Member
Jan 14, 2015
3,818
5,007
Baada ya kuingia katika ndoa yake ya pili pamoja na kuzindua albamu mpya Flora kapotea kabisa. Au ni laana ya Mtumishi Wa Mungu Mme wake Wa kwanza bwana Mbasha?
 
Hana utumishi wa Mungu wowote huyo Mbasha kutwa anajibinua vitako instagram
 
Baada ya kuingia katika ndoa yake ya pili pamoja na kuzindua albamu mpya Flora kapotea kabisa. Au ni laana ya Mtumishi Wa Mungu Mme wake Wa kwanza bwana Mbasha?
Uasherati wake mwenyewe ndio uliompunguzia umaarufu.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom