Wana jamvi, mara nyingi tumekuwa na mjadala kuhusu nini husababisha kupanda ama kushuka kwa thamani ya fedha ya nchi fulani. Wengine walitetea kitu wasichokijua wengine walikubaliana kuwa kila
TUKIO,
SEMI, AU MIROPOKO yeyote huathiri THAMANI ya hela ya nchi yeyote.
Tanzania tunaweza kujifunza kutokana na TUKIO hili la SIKU MOJA baada ya Rais wa Mexico kuonyesha
ubabe na KUROPOKA kupitia tweeter kwamba HATAENDA kumwona Trump kama ILIVYOKUWA imepangwa.
MROPOKO huo umeigharimu hela ya Mexico Peso KUSHUKA thamani hadi asilimia 1.1%.
Wachambuzi wa masuala ya kifedha wanasema asipo SOFTEN/legeza maongezi yake na KULIPA SOKO imani basi hela yao PESO itakuwa under pressure kutoka kwa dollar ya Marekani. Nini tunaweza kujifunza kama Tanzania?
Mimi nafikiri Tuache MIROPOKO na kuzuia MATUKIO ambayo yanaweza kuipa Tanzania picha MBAYA katika uso wa kimataifa na kupeleka mixed signals kwamba Tanzania ni nchi yenye MTAFARUKU wa kisiasa.
Kwa mfano. WAPINZANI badala ya KUMINYWA uhuru wao KIKATIBA give them as per constitution.
Na si VIZURI vyombo vya dola kuwafuata fuata na MAKESI yasiyokoma. Mengine hayana vichwa wala miguu.
It is not good for the country and does not augur well in the face of the International community.
Tunajiharibia sisi wenyewe. Unless Mtu wa UPINZANIA AMAVUNJA sheria za nchi. Lakini si KUKOMOANA kwa sababu tu ni chama cha upinzani.
Tuwe SOBER bila mihemko!
TUSIPOJIREKEBISHA basi hela yetu itakuwa under pressure kutokana na dollar ya Marekani. kwa muda WOTE wa miaka 5. Unless we change tack!
Kila jambo na NENO LIPIMWE kabla halijatoka nje.
la sivyo pressure ya hela yetu itazidi, na thamani itashuka!